Kukosa Hela

Wanakera sana watu wa hivi, wamenifanya nijifunze kutokopesha mtu hata awe na shida gani
Mmoja nilimkopesha na amenifunza kutokopesha tena mtu hela. Mwingine kodi ya nyumba 2M manina
 
Inauma sana. Mi ningekua na nguvu ningeenda kuwapiga hela ninayowadai wajiuguzie
 
Usijaribu kukopesha mtumishi wa umma.
Huwa hawalipi madeni hao watu. laki tu anaweza kulipa kidogo kidogo hata miaka mitatu.
Ukimuuliza Amalia njaa tu
Sasa hiv wote tu hawataki kulipa madeni. Wanaona wenzao chuma ulete
 
POLE SANA MKUU ZAMA HIZI SIO ZA KUKOPESHA WATU ,UNAWEZA KUONA WATU WABAYA BURE KUMBE VYUMBA
Asante mkuu. Mwingine sijamkopesha nilimpa hela ya kodi akanirusha. Mbaya zaidi ni mwanamke.
 
Nilishawahi kumfuata mtumishi mmoja nikamkate hata panga maana nilimdai miaka miwili bila majibu.
Bahati nzuri sikumkuta ningemkata hasa kwa usumbufu alionipa
Uwiii. Bora hukumkuta maana ungejutia baadae.
 
Tehehe [emoji16][emoji16]mtani unatongoza daily?wewe jana si umejimilikisha mke huko chitchat bila washenga!!
Labda kabla ya kujimilikisha katongoza sana akaamua afunguke tu
 
Mi ninae mdai kila cku anapita hapa anajichekesha et kazin kwake hajalipwa mwez wa 5,na deni linakarbia mwaka,namheshim sana yan nikimwonaga nataman kumng'ata
Mi sema tu siwaoni haki ningemwamgia hata mchanga. Siku nawaza niende napomdai mdai wangu na difenda nikambebe halafu akilala ndani mwanae mdogo akilala bila yeye atajifunza kuheshimu pesa za watu.
 
Mi ninae mdai kila cku anapita hapa anajichekesha et kazin kwake hajalipwa mwez wa 5,na deni linakarbia mwaka,namheshim sana yan nikimwonaga nataman kumng'ata
Aisee kuna ndugu zangu nimewakopesha helaa naona mpaka aibu kuwadai

Sjui wamesahau hapa napanga bomu la nyuklia nitawapiga nalo mpak wanichukie

Saivi mwezi wa tatu unaisha wapo kimya wakat walisema week moja tu
Sasa hiv wote tu hawataki kulipa madeni. Wanaona wenzao chuma ulete
 
Aisee kuna ndugu zangu nimewakopesha helaa naona mpaka aibu kuwadai

Sjui wamesahau hapa napanga bomu la nyuklia nitawapiga nalo mpak wanichukie

Saivi mwezi wa tatu unaisha wapo kimya wakat walisema week moja tu
Mimi nimelipia kodi toka November akaniambia atanirudia hela yangu mpaka leo kimya halafu nikimdai analeta kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…