Kukosa Hela

Kukosa Hela

Pesa za kudai, nishafanya kusamehe na nimekoma mie mtu sasa akija na kuniambia anahitaji nimkopeshe nahesabia nimetoa tu, akilipa sawa asipolipa hewala ila natoa ile pesa ambayo si ya mipango na iwe ndogo ndogo ila pesa nyinging nimekoma labda awe mtu wangu wa karibu sana

Ukata umenishika ila nikihesabu pesa zilizo kwa watu, najisikia unyonge tu.
Unyonge unaoupata na wao mambo yao ya kifedha hayaendi vizuri huko. Watu hawajui tu kuwa huwezi kufanikiwa kwa kutumia hela ya mtu mwenye kinyongo. Unakopa hurudishi unajiona mjanja.
 
Walikuwa na tabia ya kuniomba pesaa ndogo ndogo toka niwakopeshe naona wamepunguza kabisa hata hivyo mashukur

Kero ndogo ndogo zimepungua

Alafu wanaosumbua ni hivi vidada vimemaliza chuo havitak kufanya kazi

Vinasubiria magufuuli achekeeee

Ni shida sana
Wanakuombaje hela dada yao? Au kwa kuwa mi sina dada wa kumuomba hela ndo maana sielewi hapo
 
Kote nasoma naona watu mnadai tu hakuna anaedaiwa?

Anyways mimi na mambo ya kukopeshana ni vitu viwili tofauti. Heri uniambie nisaidie kuliko kuniambia nikukopeshe maana najua tutaishia kugombana
Kama hayajakukuta unakua huelewi. Mimi kweli nimejifunza kukopesha watu. Kukopa mi wala sina shida maana najua lazima nirudishe.
 
Wanakuombaje hela dada yao? Au kwa kuwa mi sina dada wa kumuomba hela ndo maana sielewi hapo
Ukiwa dada mtihani sana ndugu yangu

Napambana na hali yangu tu sna jinsi.
 
Kamshahara kangu kadogo mkuu hakatoshi kumaliza shida zangu nilizo nazo
 
Back
Top Bottom