Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #61
Unyonge unaoupata na wao mambo yao ya kifedha hayaendi vizuri huko. Watu hawajui tu kuwa huwezi kufanikiwa kwa kutumia hela ya mtu mwenye kinyongo. Unakopa hurudishi unajiona mjanja.Pesa za kudai, nishafanya kusamehe na nimekoma mie mtu sasa akija na kuniambia anahitaji nimkopeshe nahesabia nimetoa tu, akilipa sawa asipolipa hewala ila natoa ile pesa ambayo si ya mipango na iwe ndogo ndogo ila pesa nyinging nimekoma labda awe mtu wangu wa karibu sana
Ukata umenishika ila nikihesabu pesa zilizo kwa watu, najisikia unyonge tu.