Kukosa Hela

Kukosa Hela

Najisikia kuumwa sio kuumwa. Nasikia baridi, koo limekua kavu, najaribu kulala usingizi hauji, najisikia kama nikae chini nilie halafu nikiwaza kuna watu nawadai hela zangu na mpango wa kunipa hata 100 hawana natamani ningekua na nguvu niwakamate niwapige. Niombeeni na mimi leo mipango yangu ya hela ikae sawa maana mnaweza nipoteza hii hali ikidumu kwa siku mbili tu.
kukosa hela kwa mdada ni sawa na kuwa kilema... ntakusaidia magongo kwa kipindi hiki kigumu kwako
 
Back
Top Bottom