Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inauma sana. Mi ningekua na nguvu ningeenda kuwapiga hela ninayowadai wajiuguzieAisee yaani siku hizi kudai pesa yako ni kama ugomvi vile. Mm kuna watu kama wanne hivi ninawadai lakini cha kushangaza ni pale ninapo itajia kiasi changu hawanipi kila siku napigwa kalenda tu. Yaani isha kuwa kama ugomvi mpaka nisha kausha tu wakinipa sawa na wasipo nipa sawa tu.
Tehehe [emoji16][emoji16]mtani unatongoza daily?wewe jana si umejimilikisha mke huko chitchat bila washenga!!Bora Wewe uliyekosa tu Hela Mkuu kwani mwenzako Mimi nimekosa Hela, Mbunye na hata Kipaji changu cha Kutongoza nacho siku hizi Kimetoweka kabisa kwenda Kusikojulikana hivyo mambo kuwa ' valuvalu ' tupu.
Ni hatari sana umenikumbusha Jana tu nimetoka kusumbuka na mdeni wangu mpaka nikamtukana sanaSasa hiv wote tu hawataki kulipa madeni. Wanaona wenzao chuma ulete
Mi sema tu siwaoni haki ningemwamgia hata mchanga. Siku nawaza niende napomdai mdai wangu na difenda nikambebe halafu akilala ndani mwanae mdogo akilala bila yeye atajifunza kuheshimu pesa za watu.Mi ninae mdai kila cku anapita hapa anajichekesha et kazin kwake hajalipwa mwez wa 5,na deni linakarbia mwaka,namheshim sana yan nikimwonaga nataman kumng'ata
Alinisumbua sana bahati yake sikumkutaUwiii. Bora hukumkuta maana ungejutia baadae.
Aisee kuna ndugu zangu nimewakopesha helaa naona mpaka aibu kuwadaiMi ninae mdai kila cku anapita hapa anajichekesha et kazin kwake hajalipwa mwez wa 5,na deni linakarbia mwaka,namheshim sana yan nikimwonaga nataman kumng'ata
Sasa hiv wote tu hawataki kulipa madeni. Wanaona wenzao chuma ulete
Ndo hiyo hiyo... bucket ya savanna si inatosha au chupa ya hennyGris unajua ni muamala hamna gris nyingine hapo
Mimi nimelipia kodi toka November akaniambia atanirudia hela yangu mpaka leo kimya halafu nikimdai analeta kiswahili.Aisee kuna ndugu zangu nimewakopesha helaa naona mpaka aibu kuwadai
Sjui wamesahau hapa napanga bomu la nyuklia nitawapiga nalo mpak wanichukie
Saivi mwezi wa tatu unaisha wapo kimya wakat walisema week moja tu