Weka namba yako hapo tukuchangie pesa walau zikifariji siku2 au 3 acha kulia liaHizo ni za mwaka jana mkuu.
Huwa naamini kupata ni majaaliwa mdogoake!! Sasa utaenda wapi kama huna la kukuingia hela kwa wakati huo?!Unapataje usingizi na huna hela dadake??
Mimi hata usingizi hauji walah!!Huwa naamini kupata ni majaaliwa mdogoake!! Sasa utaenda wapi kama huna la kukuingia hela kwa wakati huo?!
HahahaDada wewe mzur unalala tu huna stress
Weka basi...Naweka
Wanaume cc tuna huruma sana tukiona mtt wa kike analia njaa hatukawii kumsaidia halafu mkishajua basi mnageuza kamchezo ili kila siku mhurumiweNamchuna nani sasa nikisema sina hela?
kukosa hela kwa mdada ni sawa na kuwa kilema... ntakusaidia magongo kwa kipindi hiki kigumu kwakoNajisikia kuumwa sio kuumwa. Nasikia baridi, koo limekua kavu, najaribu kulala usingizi hauji, najisikia kama nikae chini nilie halafu nikiwaza kuna watu nawadai hela zangu na mpango wa kunipa hata 100 hawana natamani ningekua na nguvu niwakamate niwapige. Niombeeni na mimi leo mipango yangu ya hela ikae sawa maana mnaweza nipoteza hii hali ikidumu kwa siku mbili tu.
Viwalo vya mtumba au? Nitakuja weekend moja hapoKanapatikana wapi mkuu,
Mie na Nando tupo hapa mawasiliano tunauza viwalo
Mfanye kutuungisha
HahahahaMimi hata usingizi hauji walah!!
Vya mchinaViwalo vya mtumba au? Nitakuja weekend moja hapo
AsanteHahahaha
Pole jamani
Embu jaribu leo tuone
Upo tayari kuliwa weye?[emoji23] [emoji23] Ukitaka kula lazima na wewe uliwe kidogo!
hhhh sio kwa style hiiooPole sana.
Mimi mwenyewe namdai mtu tena wa mkoani, na amenikaushia tangu 2016 inauma sana.
Haaa haaa haaa! Lakini nawe utaendelea kula kwahiyo tutakua tunakulanaNa wewe ukila leo si ndo utataka mazoea ule kila siku