Mm huwa nakosa raha kabisaa nagombana na watu balaaaaHahaha
Sasa utafanyaje mdogo wangu?! Kukopa kila mtu hana hela, halafu ukute huna namna ingine!! Aki nafungaga mlango nazima TV, nazima taa then nalala!!
Sikweli kuna mmoja mfanya biashara amegoma kunipa hela yangu tangu 2015 nimekata tamaa kulipwa hela yangu.Usijaribu kukopesha mtumishi wa umma.
Huwa hawalipi madeni hao watu. laki tu anaweza kulipa kidogo kidogo hata miaka mitatu.
Ukimuuliza Amalia njaa tu
Ndugu sio wakukopesha hela bora uamue tu kumsaidia wana balaa.Kudai ndugu deni kazi jaman
Watu kibao tu ambao ni ndugu nimeamua kuwapotezea wanakera sana
Ukiwanyima wanakusimanga kama wanakusaidia kutafuta hizo pesaaa
Wanajua akikuomba akirud tena utamnyima anatumia gia ya kukopaNdugu sio wakukopesha hela bora uamue tu kumsaidia wana balaa.
Mimi nimeishi chini ya budget mpaka nimekoma maana ilibidi nitafute hela tena nilipe kodi. Huyu tumeandikishiana kila kiti kipo tatizo ni anapokaa sipajui tulikutana kwenye nyumba tu anayopangisha ya dada ake yeye anakaa kwingineYani mimi kuna mtu namdai m9. Nmempeleka mpaka polce ila imekuwa ngufu. Tatzo hatukuandikishiana. Yan kanirudisha nyuma ile mbya. Sasa ninajitahidi kuishi chini ya budget yangu had mwaka uishe ili nijustfy pesa nilyopteza.
Sasa Wakala Anahusika Vipi?Nikutafute au nikupe namba ya wakala dear?
Sasa hivi watu wamekuwa wagumu kulipa. Ila mimi huamini jasho la mwanaume haliliwi bure. Mtu akikudhulumu anapoteza baraka zake na zinakuja kwako. Wewe jitahid kusahau. Pambana na hali. Tumia kama simo darasa.Mimi nimeishi chini ya budget mpaka nimekoma maana ilibidi nitafute hela tena nilipe kodi. Huyu tumeandikishiana kila kiti kipo tatizo ni anapokaa sipajui tulikutana kwenye nyumba tu anayopangisha ya dada ake yeye anakaa kwingine
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] lipa madeni acha kukimbia siku nyingine hutakopeshwa.Usiombe ukakosa hela,
Yaani hata comment za jf zinakuwa fupi fupi ...
Ila bora wewe unadai..mi nadaiwa mpaka nimebadilisha namba ya simu
"Tulia tu hela yako nitakupa siwezi kukudhulumu mimi" mwaka wa tatu sasa nimeamua niachane nae ananipa tu stress nikiwaza kumdai.Ukimuuliza anakudanganya nini?
Muamala umekamilika.Gris unajua ni muamala hamna gris nyingine hapo
Wasomee albadiri tu hao waanze kuokota makopo....Najisikia kuumwa sio kuumwa. Nasikia baridi, koo limekua kavu, najaribu kulala usingizi hauji, najisikia kama nikae chini nilie halafu nikiwaza kuna watu nawadai hela zangu na mpango wa kunipa hata 100 hawana natamani ningekua na nguvu niwakamate niwapige. Niombeeni na mimi leo mipango yangu ya hela ikae sawa maana mnaweza nipoteza hii hali ikidumu kwa siku mbili tu.
Najisikia kuumwa sio kuumwa. Nasikia baridi, koo limekua kavu, najaribu kulala usingizi hauji, najisikia kama nikae chini nilie halafu nikiwaza kuna watu nawadai hela zangu na mpango wa kunipa hata 100 hawana natamani ningekua na nguvu niwakamate niwapige. Niombeeni na mimi leo mipango yangu ya hela ikae sawa maana mnaweza nipoteza hii hali ikidumu kwa siku mbili tu.