Kukosa Hela

Kukosa Hela

Hahaha
Sasa utafanyaje mdogo wangu?! Kukopa kila mtu hana hela, halafu ukute huna namna ingine!! Aki nafungaga mlango nazima TV, nazima taa then nalala!!
Mm huwa nakosa raha kabisaa nagombana na watu balaaaa
 
Usijaribu kukopesha mtumishi wa umma.
Huwa hawalipi madeni hao watu. laki tu anaweza kulipa kidogo kidogo hata miaka mitatu.
Ukimuuliza Amalia njaa tu
Sikweli kuna mmoja mfanya biashara amegoma kunipa hela yangu tangu 2015 nimekata tamaa kulipwa hela yangu.
 
Yani mimi kuna mtu namdai m9. Nmempeleka mpaka polce ila imekuwa ngufu. Tatzo hatukuandikishiana. Yan kanirudisha nyuma ile mbya. Sasa ninajitahidi kuishi chini ya budget yangu had mwaka uishe ili nijustfy pesa nilyopteza.
 
Mimi nimeishi chini ya budget mpaka nimekoma maana ilibidi nitafute hela tena nilipe kodi. Huyu tumeandikishiana kila kiti kipo tatizo ni anapokaa sipajui tulikutana kwenye nyumba tu anayopangisha ya dada ake yeye anakaa kwingine
 
Sasa hivi watu wamekuwa wagumu kulipa. Ila mimi huamini jasho la mwanaume haliliwi bure. Mtu akikudhulumu anapoteza baraka zake na zinakuja kwako. Wewe jitahid kusahau. Pambana na hali. Tumia kama simo darasa.
 
Atalipa nini kama hana? Vyuma vimekaza kila kona. Ukianzisha biashara, wateja hawana hela!
 
Usiombe ukakosa hela,
Yaani hata comment za jf zinakuwa fupi fupi ...
Ila bora wewe unadai..mi nadaiwa mpaka nimebadilisha namba ya simu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] lipa madeni acha kukimbia siku nyingine hutakopeshwa.
 
Mzigua90 usijali naja Tanga/Dar sema wapi upon nikujaze mipesa
 
699f02e528d5753659e5236de1d21127.jpg

Mkuu Punguza hasira....
 
Najisikia kuumwa sio kuumwa. Nasikia baridi, koo limekua kavu, najaribu kulala usingizi hauji, najisikia kama nikae chini nilie halafu nikiwaza kuna watu nawadai hela zangu na mpango wa kunipa hata 100 hawana natamani ningekua na nguvu niwakamate niwapige. Niombeeni na mimi leo mipango yangu ya hela ikae sawa maana mnaweza nipoteza hii hali ikidumu kwa siku mbili tu.
Wasomee albadiri tu hao waanze kuokota makopo....
 
Najisikia kuumwa sio kuumwa. Nasikia baridi, koo limekua kavu, najaribu kulala usingizi hauji, najisikia kama nikae chini nilie halafu nikiwaza kuna watu nawadai hela zangu na mpango wa kunipa hata 100 hawana natamani ningekua na nguvu niwakamate niwapige. Niombeeni na mimi leo mipango yangu ya hela ikae sawa maana mnaweza nipoteza hii hali ikidumu kwa siku mbili tu.

Vipi ulipata grisi??
 
Back
Top Bottom