Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi jamii itoke mafichoni na kuomba hiki kitu kifanyike. Rais atasikia tu na atafanya hata kwa shingo upande. Haina namna atapoteza hats watu wa kuwaongoza kama wanyonge wake. Tuunge mkono hoja hii na kuichangia kwa wingi ataelewa tu. Screenshot tuma kwenye magroup na platform zingine atasikia tu Mh. Wawakilishi wameshindwa kutuwakilisha katka hili. Tufanye social media kuwa wawakilishi wetu. Mheshimiwa atasikia tu.Barikiwa sana huku secta binafsi hali ni mbya wakat huo huo ndo wachangia wazuri wa mifuko hii
Nadhan muda huu ndo ilikuwa nyakati mwafaka kumjali mteja
Sent using Jamii Forums mobile app
30% itakufanya uishi ili uweze kupata kilichobaki uzeeni. Kukosa 30% sasa hivi katika hali hii ngumu ya corona na kunyimwa mishahara ni kutengeneza mazingira ya kujifia taratibu na hata huo uzee wa kusubiri asilimia zote hutaufukisha. Shughulisha kichwa chako na ufukiri vizuri utaona umuhimu wa kufanya hili suala mapema na haraka iwezekanavyo. Kwenye dharula hesabu ya kwanza ni kuokoa uhai(social security) na sio trial balance wala nini huku unapoteza mchangia atakayeleta fedha unazotaka kuzipigia hesabu. Level up broMifuko haiendeshwi kwa hisia na matakwa binafsi, bali kwa Mahesabu, kwamba ukipewa sasa hivi 30% ukistaafu kutakuwa hakuna hela ya kukupa kwa maana ulishaichukuwa nikimaanisha kama kila mtu akitaka apewe 30% sasa hivi, wanaostaafu watakosa, ...
Sasa kwa nini mchango wako usikuokoe mpka usubiri waje warithi hao?Wakifa kabla, Mke/ Mume nafikiri ataendelea kulipwa sina uhakika lakini.
Well said!Basi
Basi jamii itoke mafichoni na kuomba hiki kitu kifanyike. Rais atasikia tu na atafanya hata kwa shingo upande. Haina namna atapoteza hats watu wa kuwaongoza kama wanyonge wake. Tuunge mkono hoja hii na kuichangia kwa wingi ataelewa tu. Screenshot tuma kwenye magroup na platform zingine atasikia tu Mh. Wawakilishi wameshindwa kutuwakilisha katka hili. Tufanye social media kuwa wawakilishi wetu. Mheshimiwa atasikia tu.
M nadhan huu ndo mda mwafaka wa mifuko kujichotea wanachama wapya kutoka secta zisizo rasmi kwa kuonesha mfano wa kutoa angalau chochote wakat wa kipind kigumu cha dharula na kuweza kuwashawishi watuMifuko haiendeshwi kwa hisia na matakwa binafsi bali ni Hisabati yaani wanakokotoa na ili Mahesabu yakubali na kila anayekatwa aweze kulipwa akistaafu ndio maana wanafanya hivyo, kuna sababu kwa nini inaitwa "akiba ya uzeeni” hawakuita akiba ya ukipata tatizo.
30% itakufanya uishi ili uweze kupata kilichobaki uzeeni. Kukosa 30% sasa hivi katika hali hii ngumu ya corona na kunyimwa mishahara ni kutengeneza mazingira ya kujifia taratibu na hata huo uzee wa kusubiri asilimia zote hutaufukisha. Shughulisha kichwa chako na ufukiri vizuri utaona umuhimu wa kufanya hili suala mapema na haraka iwezekanavyo. Kwenye dharula hesabu ya kwanza ni kuokoa uhai(social security) na sio trial balance wala nini huku unapoteza mchangia atakayeleta fedha unazotaka kuzipigia hesabu. Level up bro
Nini maana ya social security? Kwani hao wasaafu hawana akiba bank au huwa hawaweki akiba bank? Nadhani kuna mengi huyajui kuhusu hizi National social security fundsHiyo siyo kazi yake hayo Mashirika kukusaidia wewe ukikwama maishani, hayajaanzishwa kwa kazi hiyo na yakifanya hivyo utakavyo wewe yatashindwa kwa kufilisika na kushindwa kuwalipa wanaostaafu ambao wameshachangia kwa miaka mingi, ukitaka upate hela za kukusaidia pindi upatapo tatizo weka akiba benki au kachukue mkopo.
Nini maana ya social security? Kwani hao wasaafu hawana akiba bank au huwa hawaweki akiba bank? Nadhani kuna mengi huyajui kuhusu hizi National social security funds
Halafu ukistaafu umeshazeeka na kuchoka utakubali malipo ya uzeeni pungufu 30%?
Sasa kama umekubali kupokea sasa hivi utakataaje ukishastaafu? Nadhani mleta mada hana maana kuwa iwe kwa lazima, iwe kwa wale wanaohitaji maana ni stahiki zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu ndugu sijawahi kuona mbunge wa ccm anahuruma na mtz...hukumbuki kikokotoo....hukumbuki ufisadi wote wa serikali wanavyo utetea kwa nguvu lkn baadae wanakuja kuaibika vibaya....huoni wanavokaa bungeni wakitetea serikali badala ya watz???Itawabidi tu wasikie bila kujali wako vp . nao pia wanaitegemea jamii ili waishi. sasa bila kuilinda tena kwa fedha zao wenyewe!!! Hawatakuwa waungwana duniani na mbinguni. Wataua mpaka ndugu na jamaa zao na hats wao pia. Hii kitu iachiwe no matter what.
Tambua shughuli zimesimama unafikiri hata huyo anayestaafu atalipwa vipi kama tuliyetegemea afanye kazi halipwi chochote ili kuchangia huo mfuko?Nimesema kwamba siyo kazi yake kukusaidia wewe ukipata shida kabla ya kustaafu, labda tu haujaelewa vizuri jinsi inavyofanya, kwa kifupi anayestaafu anaweza tu kulipwa kwa kuwa ambaye bado anafanya kazi anachangia sasa kama wewe unayechangia ambaye bado haujafikia umri wa kustaafu ukitaka ulipwe yule anayestaafu alipwe kwa pesa gani?
Jifunze kuweka akiba Benki ili ukipata shida uchukuwe, lkn hii mifuko siyo kazi yake kukuokoa ukiwa na shida, kazi yake ni kulipa wanaostaafu tena waliochangia kwa miaka kadhaa nafikiri ni lazima uwe umechangia kwa miaka 15-20 ili uweze kulipwa ukistaafu sina uhakika hapo lkn nafikiri ni hivyo.
Hivyo jifunze kuweka akiba Benki au sehemu nyingine unayoiamini, lkn akiba ya uzeeni ni mpaka ukistaafu tena baada ya kulipia kwanza kwa miaka kadhaa, ...
Tambua shughuli zimesimama unafikiri hata huyo anayestaafu atalipwa vipi kama tuliyetegemea afanye kazi halipwi chochote ili kuchangia huo mfuko?
Hilo haliwezekani, kwani ni lazima uchangie kwa miaka kadhaa nadhani (15-20) ili uweze kuja kulipwa ukistaafu, kumbuka anayestaafu hela anayolipwa ni ile unayochangia wewe unayefanya kazi sasa hivi, na yeye pia alichangia wengine kama wewe unavyofanya, hivyo kama kila mtu akitaka kuchukuwa, anayestaafu sasa hivi atalipwa fedha kutoka wapi?
Kwani ukistaafu tu ndo lazima kulipwa? Kama inawezekna kuwalipa waliachishwa kazi na waliofariki kwanini wasiweze kwenye hili.. Mbona kuanzisha miradi kupitia hayo mashirika inawezekanaHilo ni swala lingine, angalau bado wanachochote cha kuwalipa Wastaafu ambao wameshachangia kwa miaka mingi klk huyu ambaye hajachangia sana na bado hajastaafu kutaka kulipwa.
Kwani ukistaafu tu ndo lazima kulipwa? Kama inawezekna kuwalipa waliachishwa kazi na waliofariki kwanini wasiweze kwenye hili.. Mbona kuanzisha miradi kupitia hayo mashirika inawezekana