Kukosa mkopo+jkt+umasikini..mmeni encourage kukaba na kufanya matukio makubwa

Smocker

Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
6
Reaction score
1
Mmenipeleka jkt wenyewe bila mimi kupenda na kunifundisha matumiz ya silaha zote...mmeninyima mkopo japokua vigezo vya kupewa mkopo nlkua navyo..plus na umasikini nlokuanao...kiukweli kwa hacra mlonipa nawaza kukaba...na siku mkinikamata ntawapa sababu hizihizi
 

du! Watu mnahasira sa mchezo
 
Wewe si msomi....??

Hadi hapo ulipofikia,you can do something potential rather than been a criminal...

Usifanye maamuzi ambayo baadae utayajutia,aseee wezi wanauwawa kikatili....
 

ha ha ha haaaa! Acha kuweka mbingu vilaka bwana mdogo......uwanja ni wako fanya matukio yoyote unayoyataka utatukuta tupo na utadhibitiwa tu na utakili mwenyew kuwa raia mwema..........nakumbuka mawazo kama yako niliwaza mwaka 2009 nilivoamua kuacha jeshi pale 514 kj lakn sikubahatka kufanya uharifu wa kutumia silaha Hapo ujiulize kwann? Na niwangap JKT wanamaliza mkataba na wanarud nyumban lakn hawafany unayotaka ww? Karibu kijana hebu jaribu sk 1 ukutane na kitu uschokijua
 
Dahh..ndugu mjue mambo mengne yanakera...hebu fikir mtu anaacha kuchagua fuculty aliyokua anamalengo nayo nakuchagua fuculty yenye priolity ili aweze kusoma na kufanikisha angalau malengo yake madogo lakin bado ananyimwa mkopo....ilikua na maana gan sasa kuweka priolity na non priolity....!
 


You're kinda drivin' me to a valley....!!
Pull up in that you can't afford this...
*514 wat it...??
 

sio makosa yako,ni makosa ya heslb!
 
hebu kaa chini kisha tafakar tena... haya maisha is more than Heslb loan..
 
Maswala ya kukosa mkopo si ya kulaumu serikali, mlaumu baba yako na mama yako kwa kuchezea ujana wao.

Serikali haikuwatuma wazazi wako wakuzae kama hawana uwezo wa kukusomesha hawana.

Serikali inaongozwa na bajet. Usihusishe uhuni wako na jkt. Serikali ilikupeleka jkt ili ujifunze ukakamavu, na wala si kwa ajili ya kukaba.

Jarbu uone
 
dogo tuliza kichwa usiwaze sana mdogo angu ndiyo serikali yetu ila nakushauri uappeal tena alafu washirikishe ndugu zako wakuchangie ili uende chuo uko utalipa ada nusu and then matokeo ya appeal zikitoka utaangalia kama itakua na mabadiliko au lah waweza hairisha mwaka wenzako walifanya hivyo piga moyo konde angalia sana mdogo angu LIFE IS SHORT LIKE A WOMAN TEARS. Usijiingize kwenye vitendo viovu POLE SANA.
 

Aiseee!
 
Pumbafu m s en ge wewe. Bwabwa mkubwa.
 
Baada ya kuwaza kubeba japo sembe trip moja ukamaliza shida zako zote we unawaza kwenda kuiba!!!!sembe ndio habari ya mujini
 
Hilo nalo ni neno mkuu, lakini jkt inafundisha uzalendo au safari hii haujafundishwa?
 
Poa hilo nalo ni neno, lakini jkt inafundisha uzalendo ktk nchi ww hilo hujafundishwa?
 
Form six is potential career govnt has given somebody why becoming criminal young man ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…