Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmenipeleka jkt wenyewe bila mimi kupenda na kunifundisha matumiz ya silaha zote...mmeninyima mkopo japokua vigezo vya kupewa mkopo nlkua navyo..plus na umasikini nlokuanao...kiukweli kwa hacra mlonipa nawaza kukaba...na siku mkinikamata ntawapa sababu hizihizi

ha ha ha haaaa! Acha kuweka mbingu vilaka bwana mdogo......uwanja ni wako fanya matukio yoyote unayoyataka utatukuta tupo na utadhibitiwa tu na utakili mwenyew kuwa raia mwema..........nakumbuka mawazo kama yako niliwaza mwaka 2009 nilivoamua kuacha jeshi pale 514 kj lakn sikubahatka kufanya uharifu wa kutumia silaha Hapo ujiulize kwann? Na niwangap JKT wanamaliza mkataba na wanarud nyumban lakn hawafany unayotaka ww? Karibu kijana hebu jaribu sk 1 ukutane na kitu uschokijua
Mmenipeleka jkt wenyewe bila mimi kupenda na kunifundisha matumiz ya silaha zote...mmeninyima mkopo japokua vigezo vya kupewa mkopo nlkua navyo..plus na umasikini nlokuanao...kiukweli kwa hacra mlonipa nawaza kukaba...na siku mkinikamata ntawapa sababu hizihizi
Maswala ya kukosa mkopo si ya kulaumu serikali, mlaumu baba yako na mama yako kwa kuchezea ujana wao.
Serikali haikuwatuma wazazi wako wakuzae kama hawana uwezo wa kukusomesha hawana.
Serikali inaongozwa na bajet. Usihusishe uhuni wako na jkt. Serikali ilikupeleka jkt ili ujifunze ukakamavu, na wala si kwa ajili ya kukaba.
Jarbu uone

Pumbafu m s en ge wewe. Bwabwa mkubwa.
Baada ya kuwaza kubeba japo
sembe trip moja ukamaliza shida zako zote we unawaza kwenda
kuiba!!!!sembe ndio habari ya mujini
mmenipeleka jkt wenyewe bila mimi kupenda na kunifundisha matumiz ya silaha zote...mmeninyima mkopo japokua vigezo vya kupewa mkopo nlkua navyo..plus na umasikini nlokuanao...kiukweli kwa hacra mlonipa nawaza kukaba...na siku mkinikamata ntawapa sababu hizihizi
Pumbafu m s en ge wewe. Bwabwa mkubwa.