Reagany Mchome
Member
- Sep 14, 2014
- 65
- 45
Hao waliokosa wamekuwa na ufaulu gani?? isije kuwa div3 halafu wanataka mkopo???
Hao waliokosa wamekuwa na ufaulu gani?? isije kuwa div3 halafu wanataka mkopo???
hii nchi ishauzwa hapa ni kutafuta pa kuzamia mazima
Hao waliokosa wamekuwa na ufaulu gani?? isije kuwa div3 halafu wanataka mkopo???
duuh...mkuu,sio udai chako kabisa.
Serikali kweli mmeshindwa kuiweka elimu kuwa kipaumbele?
Serikali kweli mmeshindwa kuiweka elimu kuwa kipaumbele?
Upo nyuma sana kimawazo kijana mkopo hauangalii ufaulu, swala ni kozi uliyopata ni priority or not thats why mwaka huu mliomba mkopo before results zenu hazijawa out, sasa we na one yako uliyoipata St. Mtakatifu ndo unadhani mkopo utaupata subiri ushangae na roho yako
Hahahahah amekoma aisee.mkopo hauangalii ufaulu mkuu. Kuna mtu anatoboa kwenye mazingira duni ya kielimu. Lakin kwa kuhustle na kupga msuli yatima anatoka na div3. Hakuna tution, prepo kwa kibatari, practical zinasomwa kwenye vitini vya issue boy. Mwingine anakula kuku na kusoma kwa projector na anatia 1. Ufaulu sio kipimo cha kupewa mkopo. Suala hapo ni financial status. Over.
Mimi ni Muhanga wa waliokosa. Mnanishauri nifanyeje?