Reagany Mchome
Member
- Sep 14, 2014
- 65
- 45
Hao waliokosa wamekuwa na ufaulu gani?? isije kuwa div3 halafu wanataka mkopo???
mkopo hauangalii ufaulu mkuu. Kuna mtu anatoboa kwenye mazingira duni ya kielimu. Lakin kwa kuhustle na kupga msuli yatima anatoka na div3. Hakuna tution, prepo kwa kibatari, practical zinasomwa kwenye vitini vya issue boy. Mwingine anakula kuku na kusoma kwa projector na anatia 1. Ufaulu sio kipimo cha kupewa mkopo. Suala hapo ni financial status. Over.