Kukosa nguvu za kiume

Kukosa nguvu za kiume

Habari wakuu naomba msaada tafadhari nina kama mwezi mmoja sasa nakosa hamu ya tendo pia jogoo hawiki kabisaa naomba mtu mwenye kujua dawa ya uhakika anisaidie tafadhari hali yangu sio nzuri naona aibu kwa mtubwangu
Pole sana gentleman,
hebu kwanza kacheki UTI sugu, gono, kaswende na ukimwi,

Lakini pia check typhoid, malaria, minyoo na sukari, ni muhimu sana, kabla sijakushauri mambo mengine ya vyakula, vinywaji, mazoezi, maisha n.k, right gentleman?🐒
 
Acha wasi wasi mkuu hayo mambo utayakuza mwenyewe kwa kuendekeza mawazo hasi. Kama umeoa mtafutie wife kasafari hata kijijini. Ukikaa mwenyewe angalau unaweza kuanza kutamani taratibu. Kikubwa punguza wasiwasi tu.
 
Punguza au acha kabisa ulaji wa sembe, ngano nyeupe, Wali mweupe acha kabisaaaa na tambi,,, mbadala wake tumia mboga majani mchemsho wenye bamia, nyanyachungu, karot, hoho kata makubwaaaaaaaaa na mboga hiyo isiive na wala usiweke mafuta. Ukipata muda piga mchuzi wa supu na yai la kienyeji lililochemshwa,, pendelea Zaid mchemsho ndani ya wiki 2 ulete majibu
 
Habari wakuu naomba msaada tafadhari nina kama mwezi mmoja sasa nakosa hamu ya tendo pia jogoo hawiki kabisaa naomba mtu mwenye kujua dawa ya uhakika anisaidie tafadhari hali yangu sio nzuri naona aibu kwa mtubwangu
Urefu wako? Uzito wako? Unakisukari? Presha? Mtindo wako wa kula ukoje? Unapumzika vya kutosha? Tatizo limeanza sasaivi au ulikua nalo mda mrefu? Unafnya mazoez ya viungo?
 
je unafanya mazoezi?unakunywa maji ya kutosha??

hapa ndo muhimu mengine yote ni mbwembwe.
 
Back
Top Bottom