Kukosa pesa ni kipimo tosha cha kutokuwa na akili

Acha maneno mengi wewe! Tumia hela ikuzoee!
 
Umeongea ukweli mtupu hapa nilipo najiona sina akili mana asubuhi nmekunywa supu ya elfu 5 mchana napata msosi wa elfu 4 usiku nahis ntantumia elfu 3 ila hapana n hela zang natumia nnavyotaka na maisha n mafupi haya
Hahaha ndo upunguze mzee tips zipo apo tutakosa utajiri hivihivi
 
Anayeamini ana akili na asikie! Pesa inafuata akili sio akili inafuata pesa, mwenye pesa tayari ana akili hata kama ana div zero kule madarasani, mwenye div 1 lkn hana pesa ni hana akili, period.
 
Siri ya utajiri ni ubahili
 
Aisee kweli sina akili mwezi September nilikuwa na akiba yangu ya kama million3 nimejikuta naipunguza kwa kula mzigo,
Hesabu ilikuwa hivi Accommodation 20,000/-, Posho 40,000/-, tungi 30,000/-, Jumla 90,000/- toa sasa ile million 3,utapata 2,910,000/-
 
"Anza na kidogo ulichonacho just begin milango itafunguka huko mbeleni just begin my friend"

Muhimu sana hiii muhimu kuliko.....kweli milango hufunguka ukianza kuielekea 🀝
 
Umesema upo tandale tukumalize tuπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…