Kukosekana kwa bunifu za miradi mikubwa katika kampeni za CCM kunapunguza mvuto!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Kwa mara ya kwanza nashuhudia kampeni ambazo hazina miradi bunifu ya kimkakati, Je nini sababu?, au labda tuseme miradi mingi ya mwendazake bado haijakamilika (viporo havijakamilika), kimsingi miradi ambayo haijakamilika ya kimsingi ni miwili tu,

SGR Mpaka mipakani mkongo wa kitaifa wa maji toka ziwa viktoria

Je miradi hii miwili ndiyo iwe kikwazo kwa uanzishwaji wa miradi mengine mikubwa?
-
-Tulitakiwa tupate mkongo mwingine wa kitaifa wa maji kutokea mto rufiji ili kufyagia shida za maji katika jiji la Dar es salam na kutengeneza historia

-, Kampeni za barabara za lami vijijini mwote Tanzania, haswa barabara za kuunganisha vijiji na barabara kuu, kurahisisha usafirishaji mazao!
 
Attachments

Weka ilani pdf hapa km unayo
Sina mkuu, kinachonishangaza ni vitu vidogo vidogo ndivyo vinavyoongelewa, Aka kutoa maiti bure, wanafunzi wa darasa la tatu wajue kusoma, nilitaraji nisikie, uanzishwaji wa miradi mikubwa, ironic national protect
 
Umeweka matarajio yako juu sana kuzidi uwezo wa huyo mgombea. Anayoyasema ndio size yake.
 
Kwa mara ya kwanza nashuhudia kampeni ambazo hazina miradi bunifu ya kimkakati, Je nini sababu?, au labda tuseme miradi mingi ya mwendazake bado haijakamilika (viporo havijakamilika), kimsingi miradi ambayo haijakamilika ya kimsingi ni miwili tu,

SGR Mpaka mipakani mkongo wa kitaifa wa maji toka ziwa viktoria

Je miradi hii miwili ndiyo iwe kikwazo kwa uanzishwaji wa miradi mengine mikubwa?
-
-Tulitakiwa tupate mkongo mwingine wa kitaifa wa maji kutokea mto rufiji ili kufyagia shida za maji katika jiji la Dar es salam na kutengeneza historia

-, Kampeni za barabara za lami vijijini mwote Tanzania, haswa barabara za kuunganisha vijiji na barabara kuu, kurahisisha usafirishaji mazao!
Kwa taafif yako lissu ameshikiliwa ili wafanye kampeni kwanza weee mwisho watamwachia maana wanajua mama hana hoja za kushawishi wananchi.
 
Hata huyo lissu mwenyewe sioni kama analolote au hoja ya mashiko ya kutukwamua, ni mpiga kelele tu,

#Swali tunalopaswa kujiuliza kwa nini nchi imefunguliwa vizuri sana na rais wetu, lakini hali ni mbaya kwa watu wa kawaida?

This is very seriously!..... (labda ten percent za halmashauri za nchi nzima kwa ajili ya wanyonge sisi zifunguliwe bank maalum, itakayokuwa ina monitor fedha hizo,na kuzitoa kwa wanyonge that mean ZIWAFIKIE KWELI KWELI TENA KWA WEPESI, kwa riba ndogo sana ili kuifutilia mbali kausha damu mitaani, na mkopo uwe mwepesi kupatikana.
 
Rais mzima anasimama jukwaani anaahidi kujenga kwa kiwango cha rami barabara ya mtaa!!!?
 
Mbona ilo ni jema sana mkuu!, posibly ni kero ya eneo husika alilopo!
Naomba nieleweke binafsi si muumini wa mafuriko ya watu, kama vile wenzetu chadema huwa wanajisifia eti ona nyomi, no, binafsi huwa ni muumini mkubwa wa kile kinachozungumzwa pale, Je kinatuvusha vipi?, na je kinawezekana?, na Je si changa la macho?
-labda chama change CCM, kinaweza kujisifu kwa dhati kabisa, maana kimefanya kazi kubwa kabisa, ni mjinga wa mwisho kabisa anayeweza kuibeza CCM.
 
Kampeni za mwaka huu HAZINA mvuto Kwa sababu ya Samia kuchokwa na watanzania kutokana na UTENDAJI KAZI wake mbovu
 
Sikujua kama huyu Mama hana uwezo kabisa katika kujenga hoja zenye mashiko. JWTZ chukueni hii nchi la sivyo tunaenda kutumbukia shimoni.
 
Kwa mara ya kwanza nashuhudia kampeni ambazo hazina miradi bunifu ya kimkakati, Je nini sababu?, au labda tuseme miradi mingi ya mwendazake bado haijakamilika (viporo havijakamilika), kimsingi miradi ambayo haijakamilika ya kimsingi ni miwili tu,

SGR Mpaka mipakani mkongo wa kitaifa wa maji toka ziwa viktoria

Je miradi hii miwili ndiyo iwe kikwazo kwa uanzishwaji wa miradi mengine mikubwa?
-
-Tulitakiwa tupate mkongo mwingine wa kitaifa wa maji kutokea mto rufiji ili kufyagia shida za maji katika jiji la Dar es salam na kutengeneza historia

-, Kampeni za barabara za lami vijijini mwote Tanzania, haswa barabara za kuunganisha vijiji na barabara kuu, kurahisisha usafirishaji mazao!
Hao wamewahi kuweza nini?
 
Mbona ilo ni jema sana mkuu!, posibly ni kero ya eneo husika alilopo!
Naomba nieleweke binafsi si muumini wa mafuriko ya watu, kama vile wenzetu chadema huwa wanajisifia eti ona nyomi, no, binafsi huwa ni muumini mkubwa wa kile kinachozungumzwa pale, Je kinatuvusha vipi?, na je kinawezekana?, na Je si changa la macho?
-labda chama change CCM, kinaweza kujisifu kwa dhati kabisa, maana kimefanya kazi kubwa kabisa, ni mjinga wa mwisho kabisa anayeweza kuibeza CCM.
Hoja uliyoianzisha inakinzana na hiki ulichoandika hapa, ni kama unang'ata na kupuliza. Umebeza ahadi ya vitu vidogo vidogo ukataka usikie ahadi ya miradi mikubwa ya kimkakati and yet unasema ni sahihi ku ahidi barabara ya mtaa, barabara ya mtaa ni mradi wa kimkakati?
 
Kwa mara ya kwanza nashuhudia kampeni ambazo hazina miradi bunifu ya kimkakati, Je nini sababu?, au labda tuseme miradi mingi ya mwendazake bado haijakamilika (viporo havijakamilika), kimsingi miradi ambayo haijakamilika ya kimsingi ni miwili tu,

SGR Mpaka mipakani mkongo wa kitaifa wa maji toka ziwa viktoria

Je miradi hii miwili ndiyo iwe kikwazo kwa uanzishwaji wa miradi mengine mikubwa?
-
-Tulitakiwa tupate mkongo mwingine wa kitaifa wa maji kutokea mto rufiji ili kufyagia shida za maji katika jiji la Dar es salam na kutengeneza historia

-, Kampeni za barabara za lami vijijini mwote Tanzania, haswa barabara za kuunganisha vijiji na barabara kuu, kurahisisha usafirishaji mazao!

Maza kaahidi Matrector million 10. Kila familia Tanzania itamiliki trector lake.
 
Hoja uliyoianzisha inakinzana na hiki ulichoandika hapa, ni kama unang'ata na kupuliza. Umebeza ahadi ya vitu vidogo vidogo ukataka usikie ahadi ya miradi mikubwa ya kimkakati and yet unasema ni sahihi ku ahidi barabara ya mtaa, barabara ya mtaa ni mradi wa kimkakati?
Ni kweli, lakini vyote ni muhimu, although topic ya kimsingi ni kuhusu maswala mapana zaidi yanayohusu umma / majority!
 
Hongera CCM kwa kukosa mvuto kwa kumalizia changamoto. Ya 2020-2025 ilikuwa na mivuto 5 - SGR, ATC, CDA, Nyerere Dam, Elimu hadi F4, Zahanati Kila Kijiji. XOOOOOTE zimetimia kwa hiyo hakuna mvuto tena, kilichobaku ni MATUSI YA CHADEMA NA URONGO WA POLEPOLE, huo ndiyo mvuto? Kaa na mvuto wako, TUTATIKI tuendelew na mvuto wa zamani
 
Back
Top Bottom