Kukosekana kwa bunifu za miradi mikubwa katika kampeni za CCM kunapunguza mvuto!

Kukosekana kwa bunifu za miradi mikubwa katika kampeni za CCM kunapunguza mvuto!

Sina mkuu, kinachonishangaza ni vitu vidogo vidogo ndivyo vinavyoongelewa, Aka kutoa maiti bure, wanafunzi wa darasa la tatu wajue kusoma, nilitaraji nisikie, uanzishwaji wa miradi mikubwa, ironic national protect
Usizinguke bure, cdm kugoma kushiriki huo uhuni automatically kumeondoa mvuto wa huo uchaguzi. Na hapa ni mwanzo, ikifika mwisho wa mwezi hizo kampeni zitakuwa zimepotea mvuto jumla.
 
Hongera CCM kwa kukosa mvuto kwa kumalizia changamoto. Ya 2020-2025 ilikuwa na mivuto 5 - SGR, ATC, CDA, Nyerere Dam, Elimu hadi F4, Zahanati Kila Kijiji. XOOOOOTE zimetimia kwa hiyo hakuna mvuto tena, kilichobaku ni MATUSI YA CHADEMA NA URONGO WA POLEPOLE, huo ndiyo mvuto? Kaa na mvuto wako, TUTATIKI tuendelew na mvuto wa zamani
Shetani mkubwa wewe dada
 
Sina mkuu, kinachonishangaza ni vitu vidogo vidogo ndivyo vinavyoongelewa, Aka kutoa maiti bure, wanafunzi wa darasa la tatu wajue kusoma, nilitaraji nisikie, uanzishwaji wa miradi mikubwa, ironic national protect
Yale ni matamasha ya mziki huoni wasanii wanapewa muda sana
Kutumbuiza 😄

Ova
 
Back
Top Bottom