Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Sina mkuu, kinachonishangaza ni vitu vidogo vidogo ndivyo vinavyoongelewa, Aka kutoa maiti bure, wanafunzi wa darasa la tatu wajue kusoma, nilitaraji nisikie, uanzishwaji wa miradi mikubwa, ironic national protectWeka ilani pdf hapa km unayo
Si bado kampeni zinaendelea maybe mbeleni huko mambo yatajifunguaSina mkuu, kinachonishangaza ni vitu vidogo vidogo ndivyo vinavyoongelewa, Aka kutoa maiti bure, wanafunzi wa darasa la tatu wajue kusoma
Umeweka matarajio yako juu sana kuzidi uwezo wa huyo mgombea. Anayoyasema ndio size yake.Sina mkuu, kinachonishangaza ni vitu vidogo vidogo ndivyo vinavyoongelewa, Aka kutoa maiti bure, wanafunzi wa darasa la tatu wajue kusoma, nilitaraji nisikie, uanzishwaji wa miradi mikubwa, ironic national protect
Kwa taafif yako lissu ameshikiliwa ili wafanye kampeni kwanza weee mwisho watamwachia maana wanajua mama hana hoja za kushawishi wananchi.Kwa mara ya kwanza nashuhudia kampeni ambazo hazina miradi bunifu ya kimkakati, Je nini sababu?, au labda tuseme miradi mingi ya mwendazake bado haijakamilika (viporo havijakamilika), kimsingi miradi ambayo haijakamilika ya kimsingi ni miwili tu,
SGR Mpaka mipakani mkongo wa kitaifa wa maji toka ziwa viktoria
Je miradi hii miwili ndiyo iwe kikwazo kwa uanzishwaji wa miradi mengine mikubwa?
-
-Tulitakiwa tupate mkongo mwingine wa kitaifa wa maji kutokea mto rufiji ili kufyagia shida za maji katika jiji la Dar es salam na kutengeneza historia
-, Kampeni za barabara za lami vijijini mwote Tanzania, haswa barabara za kuunganisha vijiji na barabara kuu, kurahisisha usafirishaji mazao!
Hata huyo lissu mwenyewe sioni kama analolote au hoja ya mashiko ya kutukwamua, ni mpiga kelele tu,Kwa taafif yako lissu ameshikiliwa ili wafanye kampeni kwanza weee mwisho watamwachia maana wanajua mama hana hoja za kushawishi wananchi.
Mbona ilo ni jema sana mkuu!, posibly ni kero ya eneo husika alilopo!Rais mzima anasimama jukwaani anaahidi kujenga kwa kiwango cha rami barabara ya mtaa!!!?
Hao wamewahi kuweza nini?Kwa mara ya kwanza nashuhudia kampeni ambazo hazina miradi bunifu ya kimkakati, Je nini sababu?, au labda tuseme miradi mingi ya mwendazake bado haijakamilika (viporo havijakamilika), kimsingi miradi ambayo haijakamilika ya kimsingi ni miwili tu,
SGR Mpaka mipakani mkongo wa kitaifa wa maji toka ziwa viktoria
Je miradi hii miwili ndiyo iwe kikwazo kwa uanzishwaji wa miradi mengine mikubwa?
-
-Tulitakiwa tupate mkongo mwingine wa kitaifa wa maji kutokea mto rufiji ili kufyagia shida za maji katika jiji la Dar es salam na kutengeneza historia
-, Kampeni za barabara za lami vijijini mwote Tanzania, haswa barabara za kuunganisha vijiji na barabara kuu, kurahisisha usafirishaji mazao!
Hoja uliyoianzisha inakinzana na hiki ulichoandika hapa, ni kama unang'ata na kupuliza. Umebeza ahadi ya vitu vidogo vidogo ukataka usikie ahadi ya miradi mikubwa ya kimkakati and yet unasema ni sahihi ku ahidi barabara ya mtaa, barabara ya mtaa ni mradi wa kimkakati?Mbona ilo ni jema sana mkuu!, posibly ni kero ya eneo husika alilopo!
Naomba nieleweke binafsi si muumini wa mafuriko ya watu, kama vile wenzetu chadema huwa wanajisifia eti ona nyomi, no, binafsi huwa ni muumini mkubwa wa kile kinachozungumzwa pale, Je kinatuvusha vipi?, na je kinawezekana?, na Je si changa la macho?
-labda chama change CCM, kinaweza kujisifu kwa dhati kabisa, maana kimefanya kazi kubwa kabisa, ni mjinga wa mwisho kabisa anayeweza kuibeza CCM.
Kwa mara ya kwanza nashuhudia kampeni ambazo hazina miradi bunifu ya kimkakati, Je nini sababu?, au labda tuseme miradi mingi ya mwendazake bado haijakamilika (viporo havijakamilika), kimsingi miradi ambayo haijakamilika ya kimsingi ni miwili tu,
SGR Mpaka mipakani mkongo wa kitaifa wa maji toka ziwa viktoria
Je miradi hii miwili ndiyo iwe kikwazo kwa uanzishwaji wa miradi mengine mikubwa?
-
-Tulitakiwa tupate mkongo mwingine wa kitaifa wa maji kutokea mto rufiji ili kufyagia shida za maji katika jiji la Dar es salam na kutengeneza historia
-, Kampeni za barabara za lami vijijini mwote Tanzania, haswa barabara za kuunganisha vijiji na barabara kuu, kurahisisha usafirishaji mazao!
Ni kweli, lakini vyote ni muhimu, although topic ya kimsingi ni kuhusu maswala mapana zaidi yanayohusu umma / majority!Hoja uliyoianzisha inakinzana na hiki ulichoandika hapa, ni kama unang'ata na kupuliza. Umebeza ahadi ya vitu vidogo vidogo ukataka usikie ahadi ya miradi mikubwa ya kimkakati and yet unasema ni sahihi ku ahidi barabara ya mtaa, barabara ya mtaa ni mradi wa kimkakati?