Kukosekana kwa daraja katika Mto Themi ni changamoto kubwa kwa Wakazi wa Kata ya Themi (Arusha)

Kukosekana kwa daraja katika Mto Themi ni changamoto kubwa kwa Wakazi wa Kata ya Themi (Arusha)

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Wananchi wakivuka mto Themi kwa tabu kutokana na Kukosekana kwa daraja kwa zaidi ya miaka mitano.
Mto huo ni kiunganishi kikubwa kati ya kata ya Themi, Lemara, Sinoni nk.

Mto huo umekuwa ni hatari hasa kwa Wanafunzi na hata watu wazima kipindi cha mvua kutokana na kuhatarisha usalama wao.

Kuvuka mto huo kwa kupitia daraja linalonekana kwa video fupi utalazimika kumlipa mmiliki wa daraja hilo Kiasi cha Shilingi 200, tumeshalalamika sana lakini inavyoonekana ni kama Mamlaka zimetusahau Wananchi tunaotumia daraja hilo.

 
Hio video hakuna wala picha hakuna kama wewe ni mwanaume basi unamapungufu mno
 
Back
Top Bottom