Pesa zipo za kulipa machawa ila hii Nchi Ina maudhi sana nyie.Nina ndugu ambaye anapata matibabu pale hajaweza kupata matibabu sasa wiki ya tatu,mamlaka zirekebishe hii dosari wagonjwa wanateseka
Hatari sana ndugu,magonjwa yenyewe hatari halafu dawa hakunaPesa zipo za kulipa machawa ila hii Nchi Ina maudhi sana nyie.