Kukosekana kwa dawa ya chemo Muhimbili kwa wagonjwa wa kulazwa

konalipin

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2025
Posts
1,313
Reaction score
2,414
Nina ndugu ambaye anapata matibabu pale hajaweza kupata matibabu sasa wiki ya tatu,mamlaka zirekebishe hii dosari wagonjwa wanateseka
 
Nina ndugu ambaye anapata matibabu pale hajaweza kupata matibabu sasa wiki ya tatu,mamlaka zirekebishe hii dosari wagonjwa wanateseka
Pesa zipo za kulipa machawa ila hii Nchi Ina maudhi sana nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…