Hivi kwanini ninyi mashabiki wa simba hamtaki kukubali uwezo wa fiston ninyi ambao mnajidai muna mabeki bora kawafunga magoli 3Fiston ni wa kawaida sana anacheza na mabeki wa kiwango cha chini sana NBC
Kwenye commenter apo chini wanasema ivi :coach alimuacha mayele kwasababu ligue ya Tanzanie niya kiwako cha chini SanaLeo nimekuwa zangu mtandaoni naona mashabiki wa simba wakitukana saana mayele
Ila kwa wakongo wenyewe jambo la mayele kuachwa kwenye timu ya taifa hawajafurahishwa nalo
Kwenye mtandao wa linafoot na mitandao mingine ya wakongo watu wana post picha na ku comment kumtukana kocha kuwa
Inawezekanaje kuita Cedric Bakambu ambaye mpaka sasa hana nafasi kwenye timu ya Olimpiki de marseill
Na kumuacha fiston mayele na vitu vingi yote haya yanaonyesha how fiston mayele he is big player sema mpira wa Kongo ni siasa tu watu
Kama hujui Kifaransa au hujui chochote kuhusu mpira pita zako View attachment 2357813View attachment 2357814View attachment 2357816View attachment 2357817View attachment 2357818
Ndio ukubwa wa timu zaidi Sanaili uitwe Congo DR mambo mawili yanatakiwa:
1. umri
2. ukubwa wa klabu unayocheza
Yanga pia wananunua matokeo
Umeona comment hiyo kwa hiyo zingine ujaona sioKwenye commenter apo chini wanasema ivi :coach alimuacha mayele kwasababu ligue ya Tanzanie niya kiwako cha chini Sana
Acha nikuambiye Bakambu ni Sawa Sawa n'a Ronaldo kwenye taifa lao(Portugal) présence yake niya maana Sana kwenye timu ya taifa
Akiwemo na Inonga aliyeitwa kwenye timu hiyo hiyo?Fiston ni wa kawaida sana anacheza na mabeki wa kiwango cha chini sana NBC
Ni top striker ukimlinganisha na nani?Ukweli ni kwamba fiston ni top striker anajua sana, siku hizi striker mwenye uwezo wa kutembea na mpira na kuumiliki ni wachache sana.. mayele anapaswa kuondoka hapa na kwenda club kubwa zaidi
Zile 2 tulizokubwenga majuzi Kati unazikataa?ili uitwe Congo DR mambo mawili yanatakiwa:
1. umri
2. ukubwa wa klabu unayocheza
Yanga pia wananunua matokeo
UNAONGEYA sio?[emoji23].Naongeya Kifaransa najua Kifaransa
Hivi na wewe unakubaliana na hawa wanaoadika vitu kwa hisia?Akiwemo na Inonga aliyeitwa kwenye timu hiyo hiyo?
Yaani kocha aache mchezaji kutoka league one FRANCE ili amchague Mayale?Mchezaji anayecheza ligue 1 ufaransa ambaye timu yake inashika nafasi ya pili kwenye msimamo huku namba moja akiongoza PSG
Mchezaji huyo umlinganishe na Mayele kwa fact ga magoli 6 kwa mechi 6 za mwisho, huo ni wendawazimu.
Makambu katika record za mwisho hajawahi kucheza dakika 90 zote lakini ana assist
Sasa huyo kinabo ambaye hata Al Ahly hajaweza kuwavutia ili asajiliwe anaweza kuwa na impact gani kwenye National team kumzidi Cedric?