kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Leo nimekuwa zangu mtandaoni naona mashabiki wa Simba wakitukana saana Mayele
Ila kwa wakongo wenyewe jambo la Mayele kuachwa kwenye timu ya taifa hawajafurahishwa nalo
Kwenye mtandao wa linafoot na mitandao mingine ya wakongo watu wana post picha na ku comment kumtukana kocha kuwa inawezekanaje kuita Cedric Bakambu ambaye mpaka sasa hana nafasi kwenye timu ya Olimpiki de Marseill na kumuacha Fiston Mayele na vitu vingi yote haya yanaonyesha how Fiston Mayele he is big player sema mpira wa Kongo ni siasa tu watu.
Kama hujui Kifaransa au hujui chochote kuhusu mpira pita zako.