Kukosekana kwa Fiston Mayele kwenye timu ya Taifa wakongo wengi walalamikia kocha

Hayo maumivu sawa na sisi arsenal wale ile trio-Gabriel hamna hata mmoja huko brazil
 
Wapo mashabiki aware wamesema ukweli kuwa msipende kulaumu wakati kocha mwenyewe amesma ligi ya Tanzania ni ndogo sana kiupinzani

 
1. Huyo kocha haijui wala hajawahi kuisikia Yanga. Ukitaja Tanzania huyo kocha anaifatilia tu Simba maana ndiyo anayoijua.
2. Mayele angekuwa na uweso huo mnaoutaja walau angecheza hata South Africa wachilia mbali ulaya mashariki kule alikocheza Peter Banda (Moldoval) Hafiti hata kidogo.
3. Uwezo wa Mayele ni mdogo mno maana hapa kwenye ligi yetu anachezeshwa na viungo wazuri lakini anascore za kawaida mpaka kufikia kushindana na Joji Mpole ambae nauhakika angekuwa amezungunkwa na viungo kama wa Yanga angetia nyavuni goli 30 plus.
4. Ubora wa Mayele zaidi ni kwenye style yake ya kutetema ambayo mpaka maaskofu na masheikh wanaitumia, bhaaaasi, Otherwise ni mchezaji wa kawaida mnoo
 
Mnamchukia mayele sababu anawatandika atakavyo
 
ili uitwe Congo DR mambo mawili yanatakiwa:

1. umri
2. ukubwa wa klabu unayocheza


Yanga pia wananunua matokeo
Mkuu hivi Simba na Bil 20 zao bado wana njaa kumbe hadi wanauza game kwa Yanga
 
Kumbe wakongo wenyewe wa Facebook [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kucheza timu ya Taifa hakuhisani na kiwango ni maamuzi ya coach na mfumo wake bongo tuna ushabiki wa kishamba sana tunataka kushindana kila kitu Eden Hazard pamoja na kukaa bench Madrid ila kwenye timu yake ya taifa panga pangua yupo first eleven
 
Ili uwechezaji mkubwa hapa bongo lazima ucheze simba full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…