Kukosekana kwa Fiston Mayele kwenye timu ya Taifa wakongo wengi walalamikia kocha

Kukosekana kwa Fiston Mayele kwenye timu ya Taifa wakongo wengi walalamikia kocha

Hayo maumivu sawa na sisi arsenal wale ile trio-Gabriel hamna hata mmoja huko brazil
 
Kocha aache mchezaji kutoka league one FRANCE ili amchague Mayale?

Hapo kwenye comments unaona kabisa wacongo wanasema Kalala hajaitwa kwasababu anacheza team ndogo ila kwakua mleta mada hajui kifarasa kaamua kuileta, kwa nchi kama Congo ambayo imeendela kimpira kwao Yanga Sc ni club ambayo bado inajitafuta sana.

Punguzeni hype zisizo na maana juu ya kateam kenu, fanyeni vizuri hata huko kimataifa muonekane sio kumpa credit mchezaji kwa kuwanga bodaboda wa SOUTH SUDAN.
Wapo mashabiki aware wamesema ukweli kuwa msipende kulaumu wakati kocha mwenyewe amesma ligi ya Tanzania ni ndogo sana kiupinzani

1663241576308.png
 
1. Huyo kocha haijui wala hajawahi kuisikia Yanga. Ukitaja Tanzania huyo kocha anaifatilia tu Simba maana ndiyo anayoijua.
2. Mayele angekuwa na uweso huo mnaoutaja walau angecheza hata South Africa wachilia mbali ulaya mashariki kule alikocheza Peter Banda (Moldoval) Hafiti hata kidogo.
3. Uwezo wa Mayele ni mdogo mno maana hapa kwenye ligi yetu anachezeshwa na viungo wazuri lakini anascore za kawaida mpaka kufikia kushindana na Joji Mpole ambae nauhakika angekuwa amezungunkwa na viungo kama wa Yanga angetia nyavuni goli 30 plus.
4. Ubora wa Mayele zaidi ni kwenye style yake ya kutetema ambayo mpaka maaskofu na masheikh wanaitumia, bhaaaasi, Otherwise ni mchezaji wa kawaida mnoo
 
Mchezaji anayecheza ligue 1 ufaransa ambaye timu yake inashika nafasi ya pili kwenye msimamo huku namba moja akiongoza PSG

Mchezaji huyo umlinganishe na Mayele kwa fact ga magoli 6 kwa mechi 6 za mwisho, huo ni wendawazimu.

Bakambu katika record za mwisho hajawahi kucheza dakika 90 zote lakini ana assist

Sasa huyo kinabo ambaye hata Al Ahly hajaweza kuwavutia ili asajiliwe anaweza kuwa na impact gani kwenye National team kumzidi Cedric?
Mnamchukia mayele sababu anawatandika atakavyo
 
ili uitwe Congo DR mambo mawili yanatakiwa:

1. umri
2. ukubwa wa klabu unayocheza


Yanga pia wananunua matokeo
Mkuu hivi Simba na Bil 20 zao bado wana njaa kumbe hadi wanauza game kwa Yanga
 
Kumbe wakongo wenyewe wa Facebook [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kucheza timu ya Taifa hakuhisani na kiwango ni maamuzi ya coach na mfumo wake bongo tuna ushabiki wa kishamba sana tunataka kushindana kila kitu Eden Hazard pamoja na kukaa bench Madrid ila kwenye timu yake ya taifa panga pangua yupo first eleven
 
Ili uwechezaji mkubwa hapa bongo lazima ucheze simba full stop
 
Back
Top Bottom