Kweli Makolo ni Makolo tuili uitwe Congo DR mambo mawili yanatakiwa:
1. umri
2. ukubwa wa klabu unayocheza
Yanga pia wananunua matokeo
Sasa waliokataa uwezo wa mayele ni simba au kocha wa timu ya taifa?Hivi kwanini ninyi mashabiki wa simba hamtaki kukubali uwezo wa fiston ninyi ambao mnajidai muna mabeki bora kawafunga magoli 3
Azam kawafunga magoli
Cha mwisho mtu akiwa anajua anajua tu
Hii hoja ishajibiwa kwamba sio simba ni kocha wa Congo.Ila Mayele anawajulia yaani mnachuki nae kama single mothers [emoji23][emoji23] bahati mbaya kaongeza mkataba mna miaka 2 ya kuendelea kulalama
Sasa mbona moja ya mabeki wa kiwango cha chini ameitwa kwenye hiyo team ya taifa?Fiston ni wa kawaida sana anacheza na mabeki wa kiwango cha chini sana NBC