Kukosekana kwa Fiston Mayele kwenye timu ya Taifa wakongo wengi walalamikia kocha

Kukosekana kwa Fiston Mayele kwenye timu ya Taifa wakongo wengi walalamikia kocha

Hivi kwanini ninyi mashabiki wa simba hamtaki kukubali uwezo wa fiston ninyi ambao mnajidai muna mabeki bora kawafunga magoli 3
Azam kawafunga magoli

Cha mwisho mtu akiwa anajua anajua tu
Sasa waliokataa uwezo wa mayele ni simba au kocha wa timu ya taifa?
 
Nimesoma comment moja hapo kwa mcongo kaandika MTIBWA ila sijui mengine aliandika nini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acheze cheze kwanza mechi za kimataifa. Hawezi kuitwa kwa sababu anaifunga simba, huyo kocha wa timu ya taifa ya congo sio utopolo.
 
Back
Top Bottom