mie nakueleza Ukweli tu,
au unasubiri kama wale jamaa wa kataa ndoa akifika 55yrs ndio anaona kuna life forces zinamsukuma aoe kwa Lazima, na hapa inakua hakuna kuangalia sura, ni atakaekubali tu twende......
uzuri wa hii ni kwamba mume kachoka na mke nae kachoka, mmeshabamiza na kubamizwa na kila aina ya mitikasi kwenye maisha ya usingo kataa ndoa, kwahiyo kunakua hakuna matata tena kati yenu, ni kanyaga twende tu, bora mmeona. vichocheo vya kimwili viko chini hakuna tamaa tena, humtamani mwenzako wala humtamani wa nje ya ndoa yenu, aise 🐒