ni muhimu zaidi kutafuta Amani kwanza, hii ikijumuisha mahitaji muhimu zaidi ya ndoa na familia, kisha pambana kupata hiyo pesa ya ziada kwa maarifa zaidi. usitumie nguvu nyingi ndio ukirudi nyumbani ushindwe kufanya mengine ππPesa ina namna mbili ukizikosa kabisa ndoa inavunjika. Ukizipata nyingi sana pia ndoa inaweza vunjika.
Unaweza ukafanya kazi kwa bidii na kutimiza wajibu ipasavyoFanya kazi kwa bidii, timiza wajibu na majukumu yako ipasavyo kwa familia yako ili udumu na kufurahia ndoa yako
ndio maana kuna ndoa.jamii ilisha hama kuishi kwenye agano la kale.hakujawahi kuwepo upendo wa kweli hapa duniani
ndo maana Adam na Hawa walisalitiana
uko sahihi,Mi naona shida kubwa ni tamaa alafu na kumdharau mwenzako..
uko sahihi,Unaweza ukafanya kazi kwa bidii na kutimiza wajibu ipasavyo
Ndoa ikaja kuvunjika kwa sababu ya usaliti wala sio njaa wala kukosa mavazi
Kuchapiwa sitaki mimioa bana, uwe na ndoa, ili oune vizur na kwa ukaribu zaidi mambo haya π
Majukumu ni mengi, kila mmoja ana ndoto zake, kwahyo kumchunguza mwingine inakua kipengele, pia ni kazi ngumu kumchunguza mtu ukamjua kwa usahihi(inataka mda hsana)uko sahihi,
but ni muhimu sana kutafuta na kujua utamu wa ladha ya kimwili na kiroho ya mwenzi wako, nae afanye vivyo hivyo kwako, kuondoa hiyo hali ya tamaa na dharau baina yenu π
Tutasaidiana tuu ndgu yangu....kuepuka tatizo hilo,
make sure unaperfom vizuri sana na katika viwango vya juu sana kazi, majukumu, wajibu na mahitaji muhimu sana ya ndoa na ya kifamilia yako π
Usaliti hauna utetezi mkuu ni mipango ilisukwalabda mazingira yenye influence kubwa aloshindwa kuidhibiti ya mahali pake pa kazi ndio imuangushe kwenye usaliti.
Bado unishawishi mkuu....π¬π¬π¬unaelewa haya mambo ni sawa na mchezo wa ngumi tu, ukizembea tu ndoige ya mandonga mtu kazi inakuhusu kwenye ndoa yako aise. ni hatari lakini inawezekana π
nadhani inahitaji hekiima, busara na maarifa zaidi kudili na visanabishi hivyo ambavyo huchochea magomvi kwenye ndoa πWatu wapendane na kutafuta namna halali ya kuongeza vipato/uchumi.Umasikini huleta vinyongo,hasira na chuki.Pambana.
mie nakueleza Ukweli tu,Bado unishawishi mkuu....π¬π¬π¬
Daah mkuu ngoja bana 2025 nafanya kweli et maana takua financial fit aiseee umeanza kunitisha ujuemie nakueleza Ukweli tu,
au unasubiri kama wale jamaa wa kataa ndoa akifika 55yrs ndio anaona kuna life forces zinamsukuma aoe kwa Lazima, na hapa inakua hakuna kuangalia sura, ni atakaekubali tu twende......
uzuri wa hii ni kwamba mume kachoka na mke nae kachoka, mmeshabamiza na kubamizwa na kila aina ya mitikasi kwenye maisha ya usingo kataa ndoa, kwahiyo kunakua hakuna matata tena kati yenu, ni kanyaga twende tu, bora mmeona. vichocheo vya kimwili viko chini hakuna tamaa tena, humtamani mwenzako wala humtamani wa nje ya ndoa yenu, aise π
πππ¬π¬π¬ Naogopa sana aiseeeShenz wewππ