Kukosekana kwa umeme Usiku wa kuamkia April 1, 2024 kumbe shida ni Maji kuwa mengi Bwawa la Kidatu

Kukosekana kwa umeme Usiku wa kuamkia April 1, 2024 kumbe shida ni Maji kuwa mengi Bwawa la Kidatu

Aiseee!

Maisha ya sasa 99.99999% hutegemea umeme.

Mkuu, kuna milango umeme ukikata tu haifunguki.

Facilities almost zote za sasa hutegemea umeme. Ulinzi na usalama. Bila umeme ofisini unafanyaje kazi?

Unaishi sayari gani eti???
Pluto.Na kama mkikosa keki kwa sababu ngano imeisha,mle chapati.
 
Maji ya kuzalisha umeme ya tanzania yana vituko mara yajipunguze mara yajiongeze kuna siku yatavimeza vituo vyetu vya kuzalisha umeme
 
Siamini hili...
Lazima kuna mambo yanawashindwa.. Waseme tu ukweli.. mitambo bado hawana ujuzi kuyaendesha..
 
Back
Top Bottom