Kuku gani nifuge kibiashara?

Kwa mahitaj ya Bata na vifaranga vya bata call 07466968 tunapatikana chanika kwa singa





 
Maelezo safi

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kuku gani mweupeee,leo nataka nikuto... to.....to.....
 
Fuga kuku wa nyama ila kasomee hata kozi fupi
 
Hv ni kweli kuwa kuku wa kienyeji si kuku wa biashara?
 
Hv ni kweli kuwa kuku wa kienyeji si kuku wa biashara?
Kama wastani wa gharama unazotoa kuhudumia kuku ni ndogo kuliko mauzo unayopata hao ni WA biashara tafadhali zingatia Muda unapokokotoa faida!
 
Kwa ww unasemaje juu ya hili kabla sijaanza kufuga……
Kama wastani wa gharama unazotoa kuhudumia kuku ni ndogo kuliko mauzo unayopata hao ni WA biashara tafadhali zingatia Muda unapokokotoa faida!
 
Posho ndio nini? Unamuuza Broiler kwa 10,000 akiwa na umri gani?
 
Bonge la thread, incase Kuna madini mengine mnitag wadau
 
Je,naweza kufuga kuku wa kienyeji lakini nikawa nawapatia huduma kama kuku wa kisasa?
 
Nikianza na 100 pure layers wale wekundu.Je itafaa?
 
Ukitaka kuwa precise, basi unatakiwa kuonana na watu wa Animal Science kama wale wa SUA! Utaeleweshwa kwa saa chache tu, na utaelewa!!
Wa SUA mbona wanafungua lodge na vibanda vya kuonyesha movie na kuuza series?
 
Yeah upo sahihi,Yani Hawa ukiwa nje ya mji mashambani huko wanajitaftia wenyewe chakula sio mpaka ununue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…