Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeKuzuia mwewe ning'iniza picha ya mwewe juu ya mti kila akija ayajua mwenzangu kanaswa
kwa kuanza usiruhusu mama yao azurule nao; kunguru kicheche watawafyeka wote. Wanunulie chakula chick starter walau kilo mbili ama tatu wape; pia siku ya saba wachanje newcastle ( kideri) siku ya 14 Gombolo; Siku ya 21 rudia Newcastle na siku ya 28 rudia Gombolo.Kuku mwenyewe katotoa leo leo!
Kuna tiba/kinga ya kuwafanya vifaranga hao wote wakue?
yaani hata kama kifaranga akifa, afe kwa kuangukiwa na ndoo au jembe, ila sio afe kwa ugonjwa.
NB; Naishi porini, hakuna duka la dawa.
hivyo dawa naomba ziwe za asili, maana kuna kila aina ya mmea hapa
Unataka Wakue Ki MunguMungu Au
Sio wavivu, Kanga asili yao porini kule hakuna kudekezena.Kanga kwenye uleaji wavivu sana njia mzuri ni kumpa kuku mayai
Kuhusu kukuza vifaranga wachache ni kwamba vifaranga bila ya wewe ku-control mazingira wataisha wote ni lzm wewe uweke mazingira rafiki kwa wao kukua na hayo mazingira ni dawa Newcastle na gombolo na pia waweke wakae kwenye banda wasiwe njeumeuliza swali nyeti sana tena muhimu kweli kweli. Kuku wengi wanaototoa mwisho wa siku hukuza mmo ama wawili tu sijui nini tatizo
Mkuu a45 ahsante sana kwa elimu yako.Kuhusu kukuza vifaranga wachache ni kwamba vifaranga bila ya wewe ku-control mazingira wataisha wote ni lzm wewe uweke mazingira rafiki kwa wao kukua na hayo mazingira ni dawa Newcastle na gombolo na pia waweke wakae kwenye banda wasiwe nje
Kwa case ya jamaa ya hupo polini hata cjui
kwa dawa za asili ni zipi?Kuhusu kukuza vifaranga wachache ni kwamba vifaranga bila ya wewe ku-control mazingira wataisha wote ni lzm wewe uweke mazingira rafiki kwa wao kukua na hayo mazingira ni dawa Newcastle na gombolo na pia waweke wakae kwenye banda wasiwe nje
Kwa case ya jamaa ya hupo polini hata cjui
kwa dawa za asili ni zipi?
siku 7 baaada ya kuku kutotoa vifaranga wape chanjo ya newcastle. kisha siku ya 14 wape chanjo ya gumboro. rudia tena hivyo siku ya 21 na 28 kisha siku ya 35 wape chanjo ya ndui na waache kwa siku mbili uwape dawa ya minyoo. mengine tuchekiane inbox.
Kwa vifaranga 24 chanjo zote hizo unajua inafik elfu 40 kasoro,ulichotoa ni kizuri ila kwa mtu mwenye vifaranga vingi.siku 7 baaada ya kuku kutotoa vifaranga wape chanjo ya newcastle. kisha siku ya 14 wape chanjo ya gumboro. rudia tena hivyo siku ya 21 na 28 kisha siku ya 35 wape chanjo ya ndui na waache kwa siku mbili uwape dawa ya minyoo. mengine tuchekiane inbox.
Mchinje jogoo ili kuku ajikite kwenye malezi!!!Kuku mwenyewe katotoa leo leo!
Kuna tiba/kinga ya kuwafanya vifaranga hao wote wakue?
yaani hata kama kifaranga akifa, afe kwa kuangukiwa na ndoo au jembe, ila sio afe kwa ugonjwa.
NB; Naishi porini, hakuna duka la dawa.
hivyo dawa naomba ziwe za asili, maana kuna kila aina ya mmea hapa
Mkuu nimekuelewa ila huu ndo utaratibu kwahiyo hauepukiki kama unataka matokeo mazuri. tumezoea kufuga kwa imani bila ya kuzingatia chanjo na pale ugonjwa unapokuja utasikia mfugaji analalamika eti "kuna ugonjwa umepita umemaliza kuku". yatupasa kufanya hivyo haijalishi una vifaranga wawili au 100.Kwa vifaranga 24 chanjo zote hizo unajua inafik elfu 40 kasoro,ulichotoa ni kizuri ila kwa mtu mwenye vifaranga vingi.
Mkuu Nlkua Naomba Msaada wa Majina ya madawa yanayo tumika kuchanja ayo magonjwa apo juu
1.newcastle: Newcastle ni chanjo. nenda duka la mifugo muone daktari wa mifugo akupatie tu mkuu. kifaranga hupewa baada ya siku 7 kuzaliwa na siku ya 21.
2.gumboro: Gumboro vilevile hupewa siku ya 14 na 28 baada ya kuzaliwa.
3.ndui: Chanjo inaitwa fowlpox
4.na iyo dawa ya minyoo: Piperazine
Mkuu angalia majibu yangu hapo in red.