As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,538
Njoo nikuuzie dawa ya Asili inaitwa Dawa ya Magome kinga dhidi ya maginjwa Nyemelezi na itasaidia kuku wako wakue hali ya kuwa na Afya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jogoo mmoja anatosha kuhudumia mitetea kumi! kwahiyo hao mitetea 15, tafuta jogoo moja tu linawatosha. ila isiwe jogoo la dar.Wadau nilikuwa na wazo pia la kununua kuku wa kienyeji mitetea 15, halafu majogoo mbegu zile kubwa ma3 halafu nifuge kisasa kiainaa kwa kuwapa chakula kizur kiasi, je naweza fanikuwa? (Natak nimpe Mdogo wangu hi kazi ya kusimamia apate Kaz ya kufanya)
Hahaha, jogoo wa dar wako sawa na wanaume wa Dar amaaa?jogoo mmoja anatosha kuhudumia mitetea kumi! kwahiyo hao mitetea 15, tafuta jogoo moja tu linawatosha. ila isiwe jogoo la dar.
wewe mwehu kweli!Njoo nikuuzie dawa ya Asili inaitwa Dawa ya Magome kinga dhidi ya maginjwa Nyemelezi na itasaidia kuku wako wakue hali ya kuwa na Afya
Mkuu sio ugomvi magome huko Congo Hamna huwa yanapatikana Tabora Tzwewe mwehu kweli!
niko Kongo DRC, utaniuzia vipi?
wewe sema hapa umechanganya nini na nini mpaka Dawa yako ikakamilika?
Mambo ya kuuziana peleka Chato.
na kama ningetaka ya kununua ningeenda mjini kununua.