Kuku kuchi hawa ni original?

Kuku wetu wa asili nina imani unawafahamu, utakutana nao kila mahali.

Hao unaowataja hapo Kuchi hawana asili ya Tanzania, 'nasikia' asili yake ni India.
Kutokea nje ya nchi haimaanishi kuwa hawezi kuwa kuku wa asili (kienyeji) au kwamba lazima awe wa kisasa kwa kuwa tu ametoka nje ya nchi! Kuku (kienyeji au kisasa) hutambuliwa kwa breed zake. Hata huko Ulaya kuna kuku wa kisasa (commercial) na wale wa kienyeji (wafugwao nyumbani/backyard).

Hili suala linahitaji mfugaji kuwa mwepesi kutafuta maarifa. Ukichimba zaidi utajifunza mengi. Hata huku Ulaya wanafuga sana tu kuku hawa wanaozurura mitaani huku kama Salu (wale wenye manyoya ya kusimama) na wanatambulika kwa majina ya koo zao.
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Hivi sotoka ni ugonjwa gani
 
umeandika kwa hisia sana mkuu 😂😂
Hao kuchi wa kienyeji wapo mkoa gani?
 
Habari wana JF,

Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana kuhusu kuku wa kienyeji aina ya kuchi. Nimefanikiwa kuwapata kuku hawa, kwa wale wenye uzoefu na kuku hawa naomba mnisaidie je ni wenyewe kweli au nimepigwa?

View attachment 1303893
Inategemea umewanunua wapi! Kama Zanzibar au Pemba au Tabora, basi ni original aidha kwenye kizazi cha pili au tatu; weye komaa nao tu hadi mwisho, ndipo utapata jibu sahihi!
 
Kuku wetu wa asili nina imani unawafahamu, utakutana nao kila mahali.

Hao unaowataja hapo Kuchi hawana asili ya Tanzania, 'nasikia' asili yake ni India.
Siyo kweli.Kuchi wengi wanapatika sana mikoa ya Katavi,Tabora na hata Singida.
 
Hao Kuku Nimewakuta Kwa Jamaa Mmoja Maarufu Kwa Ufugaji
Yeye Alisema Asili Yao Siyo Tanzania Na Sifa Kubwa Wanasema
wana Manyonya Kidogo Na Nyama Nyingi Sana
 
Hao Kuku Nimewakuta Kwa Jamaa Mmoja Maarufu Kwa Ufugaji
Yeye Alisema Asili Yao Siyo Tanzania Na Sifa Kubwa Wanasema
wana Manyonya Kidogo Na Nyama Nyingi Sana
Kwanini wanauzwa bei sana
 
Hao Kuku Nimewakuta Kwa Jamaa Mmoja Maarufu Kwa Ufugaji
Yeye Alisema Asili Yao Siyo Tanzania Na Sifa Kubwa Wanasema
wana Manyonya Kidogo Na Nyama Nyingi Sana
Huyo mfugaji yuko wapi nichukue mayai nitotoleshe
 
Huyo mfugaji yuko wapi nichukue mayai nitotoleshe
Wanaahauri Sana Kuchukua Vifaranga Kuliko Mayai Maana Unapokwenda Kutotolesha Yaweza Mfano Yasianguliwe Kutokana Na Mambo Mengi
ILa KIFARANGA Unahangaika Nacho Mpaka Kinakuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…