Kuku kuchi hawa ni original?

Kuku kuchi hawa ni original?

Kuna mtu kaniambia Kifaranga cha mwezi mmoja Kuchi sh.50,000
 
View attachment 1316642View attachment 1316649View attachment 1316653View attachment 1316656


Sikuwa na lengo la kuuza lakini kupitia hao vifanga ndo nafanya majumuisho ya gharama zao (tiba, chakula na nguvukazi) ili niweze pata bei ya wastani ya kumuuza kuku mmoja
View attachment 1316642
Nimewaona mkuu,wamenawiri kama maua Rose,vipi sasa gharama ya kuwauza wewe unawauzaje?

Na unauza hao wakubwa au wadogo vifaranga tu?

Swali la kitaalamu :

wanasema Kuchi Pure huwa hajai manyoya mwili mzima,mbona hawa kuchi wako wapo covered na manyoya Angle zote za mwili yani hamna mahali hata kangozi kanaonekana?

Nimeangalia Kuchi tofauti tofauti wengi ambao nawaona wale pure nakuta kweli wamepunyuka manyoya hasa hasa kifuani,vipi kuhusu hawa wako ni Pure au chota flani?
 
Kuna jamaa alioneshwa AZAM TV anauza njiwa pair (dume&jike) 400,000!

Wanaijeria wanasema hii ni BIG SCAM!

Nimefuatilia maelezo sijaona chochote cha maana,huku Masanza Kona na Nyamikoma hiyo casino ya kupiganisha kuchi nitaitoa wapi?

Shinyanga &Tabora 400K ni bei ya ng'ombe mkubwa.
 
Kuna jamaa aliobeshwa AZAM TV anauza njiwa pair (dume&jike) 400,000!

Wanaijeria wanasema hii ni BIG SCAM!

Nimefuatilia maelezo sijaona chochote cha maana,huku Masanza Kona na Nyamikoma hiyo casino ya kupiganisha kuchi nitaitoa wapi?

Shinyanga &Tabora 400K ni bei ya ng'ombe mkubwa.

Njiwa mkuu anafika mpaka 1 milion huko Zanzibar.. njiwa wa arabuni.. kila design
 
Asante sana mkuu,hivi hapa bongo kuna sehemu pia betting za namna hii hua zinafanyika?
Nikipata kusikia kuwa Zanzibar mambo haya hufanyika sana. Tena huko ku na wateja wakubwa wa kuku hawa.
 
Back
Top Bottom