Ntemii
JF-Expert Member
- May 25, 2022
- 295
- 553
Salamu wana JF.
Natumai mu wazima
Mimi ni kuku mgeni hivyo siwezi kosa kamba mguuni.
Naomba ukaribisho na kuelekezwa namna ya kuishi humu kwa umoja,furaha na upendo.
Hivyo naomba kuelekezwa mitaa ya kupita kwa tahadhari ili nisipotee ama kwenda kinyume na utaratibu humu ndani.
Natamani hii iwe familia yangu ya pili kwa kushirikiana nayi katika nyanja mbalimbali za kimaisha.
Natumaini nitapata ushirikiano nayi.