Kuku mgeni hakosi kamba mguuni wanaJF nionyesheni mitaa ya kupita

Ntemii

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2022
Posts
295
Reaction score
553
Salamu wana JF.

Natumai mu wazima

Mimi ni kuku mgeni hivyo siwezi kosa kamba mguuni.

Naomba ukaribisho na kuelekezwa namna ya kuishi humu kwa umoja,furaha na upendo.

Hivyo naomba kuelekezwa mitaa ya kupita kwa tahadhari ili nisipotee ama kwenda kinyume na utaratibu humu ndani.

Natamani hii iwe familia yangu ya pili kwa kushirikiana nayi katika nyanja mbalimbali za kimaisha.

Natumaini nitapata ushirikiano nayi.
 
Karibu sana ndugu, pita hii njia ya kupenda post za wengine yaani hata kama mtu kakutukana we mpe like tu 😁

Anza na mimi sasa
 
Salamu wana JF.

Natumai mu wazima

Mimi ni kuku mgeni hivyo siwezi kosa kamba mguuni.

Naomba ukaribisho na kuelekezwa namna ya kuishi humu kwa umoja,furaha na upendo.

Hivyo naomba kuelekezwa mitaa ya kupita kwa tahadhari ili nisipotee ama kwenda kinyume na utaratibu humu ndani.

Natamani hii iwe familia yangu ya pili kwa kushirikiana nayi katika nyanja mbalimbali za kimaisha.

Natumaini nitapata ushirikiano nayi.
Karib karib
 
Wasikuchooshe sana
Em pitia hapa
"ulishawahi kula tunda kimasihara"
Tafuta huo uzi hapo
 
Back
Top Bottom