RASHIDI OMARY
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 524
- 498
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] vyuo wanafungua lini?Tuma picha yako kwanza halafu tukishakujua ndio utaweza tumia jina la uongo,ila tukujue kwanza.
Mbona ni rahisi sana! Anza kujiita Kuku Mgeni kuanzia sasa! Halafu na Mods watalipitisha hilo jina kwa kulipigia kura ya ndiyo.Mimi ni mgeni humu naona wengi hamtumii majina yenu halisi nifanyaje Ili nitumie jina hewa? Naomba msaada
KaribuMimi ni mgeni humu naona wengi hamtumii majina yenu halisi nifanyaje Ili nitumie jina hewa? Naomba msaada