Kuku mgeni

Kuku mgeni

RASHIDI OMARY

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
524
Reaction score
498
Mimi ni mgeni humu naona wengi hamtumii majina yenu halisi nifanyaje Ili nitumie jina hewa? Naomba msaada
 
Mimi ni mgeni humu naona wengi hamtumii majina yenu halisi nifanyaje Ili nitumie jina hewa? Naomba msaada
Mbona ni rahisi sana! Anza kujiita Kuku Mgeni kuanzia sasa! Halafu na Mods watalipitisha hilo jina kwa kulipigia kura ya ndiyo.

Hata sisi wenzako tulifanya hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom