BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Nimegundua ndege wengi hawaoni kioo, ukitenga kioo mbele ya ndege wengi hua wanajigonga kwenye kioo ishara kwamba hua hawaoni kama kuna kitu mbele yao.
Nadhani ni kwa kuwa kioo ni transparent ambao ni muonekano yalionayo maji(pure water). Je ndege wanatambuaje kwamba ulichowatengea mbele yao ni maji na kikimbilia kuyanywa kama sifa ya maji ni kutokuwa na rangi, harufu(sawa na maji) wala umbo?