BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Ukuta wa yeriko,bila shaka ulikuwa mrefu kwenda juu futi kadhaaSio kioo tu, nakumbuka kipindi nipo kibaha jirani alijenga fensi ndefu ya ukuta na akapaka rangi nyeupe ,
Kumbe ile ilikua njia ya ndege kupita mara kwa mara basi kilichofuata nilianza kununua tooth pick mana unaweza kuta kundi zima linapiga ukutani la ndege
Sio kwamba hawakuzoea hilo eneo kuwa na ukuta so walikuwa wanatembea kwa mazoea hivyo kujikuta wanagonga ukuta?Sio kioo tu, nakumbuka kipindi nipo kibaha jirani alijenga fensi ndefu ya ukuta na akapaka rangi nyeupe ,
Kumbe ile ilikua njia ya ndege kupita mara kwa mara basi kilichofuata nilianza kununua tooth pick mana unaweza kuta kundi zima linapiga ukutani la ndege