Kuku na viazi vya kuoka

waoooh!! thanks alot farkhina mate yanidondoka mie.
 
Last edited by a moderator:
mie napenda sana mwanamke anayejua kupika kiukweli yaani ukitaka nife nioze kwa mdada ajue kupika tu vp farkhina umeolewa?
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu nimejifunza kuitengeneza last month...
 
mie napenda sana mwanamke anayejua kupika kiukweli yaani ukitaka nife nioze kwa mdada ajue kupika tu vp farkhina umeolewa?

thats very normal mkuu, hamna mwanaume anaependa mwanamke asiejua kupika....
 
Last edited by a moderator:
Kama pudding vile tena walishwa lol mambo ya pwani
farkhina wantia hamu mwenzio ni me miss msuli jamvi kiupepo cha jioni jua lazama chini ya mnazi mwembe au mkungu mahanjumati yote yako siniani
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…