Kuku ukiwafuga kwa matumizi ya Nyumbani hawapati shida yoyote ila ukiwageuza tu kuwa Business Project kila kitu hugeuka

Habarini ndugu,

Nimekuwa nikifatilia mara nyingi sana mtu unaweza kuletewa hata kuku 10 kama zawadi na ukaamua kuwafuga katika banda la hovyo tu ajabu ni kwamba watazaliana ingali huwapi chakula cha maana zaidi ya mabaki ya ugali na maharage muda mwingine hawaingii hata bandani wanalala nje ila watazaliana vizuri na kutaga mayai ya kutosha(Wanaweza kufika hata 30),

Cha ajabu sasa kuku wale wale ukiamua kuwageuza kuwa Business Project salaleee hapo sasa ndo Vifo, mafua ya Ndege, Mdondo na kila aina ya ugonjwa utawaandama kuku wako bila kusahau kuku kuzila kutaga wengine hufika mbali zaidi kuanza kula mayai yao wenyewe....Paka nao hawabaki nyuma huja na kuanza kuwinda vifaranga yani kila aina ya majanga huanza kupata kuku wako.

Nimekuwa sielewi hili jambo hivi ni nini kipo nyuma ya haya masuala hebu wajuzi wa Ufugaji watuelezee. ANGALIZO: Imani za kishirikina haziruhusiwi kwenye mjadala.View attachment 3149553
Ukute Wana vikao vyao mkuu, wanakusema hili lina tamaa, limeona kunywa supu mara moja moja haifai limeanza project ngoja tukose wote, bora tuliingize hasara wale paka wanenepe.
 
Hapa kuna ka ukweli, kwahyo tatizo ni kwamba ujuaji unaanza kuwa mwingi
Yaani utaanza kununua madawa na ukienda dukani atakuambia chukua na hii na hii
Halafu kuna wale wa mitandaoni wanakuambia ukiwapa hii dawa au hiki chakula wanataga kama mashine 😄
Halafu unakuta mtu anafikisha 100 anataka wafike 300 yaani kawakumbatia kama watoto wake

Huwa nashangaa unakaa nao wa nini kama umeamua kufanya biashara? Kwanini usiwauze badala ya kusubiri wafe?
Sifa eti ana kuku 2000
 
Habarini ndugu,

Nimekuwa nikifatilia mara nyingi sana mtu unaweza kuletewa hata kuku 10 kama zawadi na ukaamua kuwafuga katika banda la hovyo tu ajabu ni kwamba watazaliana ingali huwapi chakula cha maana zaidi ya mabaki ya ugali na maharage muda mwingine hawaingii hata bandani wanalala nje ila watazaliana vizuri na kutaga mayai ya kutosha(Wanaweza kufika hata 30),

Cha ajabu sasa kuku wale wale ukiamua kuwageuza kuwa Business Project salaleee hapo sasa ndo Vifo, mafua ya Ndege, Mdondo na kila aina ya ugonjwa utawaandama kuku wako bila kusahau kuku kuzila kutaga wengine hufika mbali zaidi kuanza kula mayai yao wenyewe....Paka nao hawabaki nyuma huja na kuanza kuwinda vifaranga yani kila aina ya majanga huanza kupata kuku wako.

Nimekuwa sielewi hili jambo hivi ni nini kipo nyuma ya haya masuala hebu wajuzi wa Ufugaji watuelezee. ANGALIZO: Imani za kishirikina haziruhusiwi kwenye mjadala.View attachment 3149553
Jaribu kufuga wafike 10,000 bila kuwauza ama 5,000, kuku pia ana akili
 
Ukute Wana vikao vyao mkuu, wanakusema hili lina tamaa, limeona kunywa supu mara moja moja haifai limeanza project ngoja tukose wote, bora tuliingize hasara wale paka wanenepe.
Hahaha umenichekesha sana mkuu
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Mwezi mmoja kama kifaranga hakikisha kanywa glucose ya kutosha, grower, chanjo ya Gomboro, na Ndui ,aisee ukifanya hivyo hawawezi sumbuau bila kusahau kumwaga dawa ya utitiri viroboto ..kusafisha banda baada ya siku 3 kutegemea na wingi wa mbolea inayozalishwa.
 
Habarini ndugu,

Nimekuwa nikifatilia mara nyingi sana mtu unaweza kuletewa hata kuku 10 kama zawadi na ukaamua kuwafuga katika banda la hovyo tu ajabu ni kwamba watazaliana ingali huwapi chakula cha maana zaidi ya mabaki ya ugali na maharage muda mwingine hawaingii hata bandani wanalala nje ila watazaliana vizuri na kutaga mayai ya kutosha(Wanaweza kufika hata 30),

Cha ajabu sasa kuku wale wale ukiamua kuwageuza kuwa Business Project salaleee hapo sasa ndo Vifo, mafua ya Ndege, Mdondo na kila aina ya ugonjwa utawaandama kuku wako bila kusahau kuku kuzila kutaga wengine hufika mbali zaidi kuanza kula mayai yao wenyewe....Paka nao hawabaki nyuma huja na kuanza kuwinda vifaranga yani kila aina ya majanga huanza kupata kuku wako.

Nimekuwa sielewi hili jambo hivi ni nini kipo nyuma ya haya masuala hebu wajuzi wa Ufugaji watuelezee. ANGALIZO: Imani za kishirikina haziruhusiwi kwenye mjadala.View attachment 3149553
Ni hatari nisawa na pesa ikiwa bado hujaishika unaipangia mipango vizurii ikisha ingia mfukoni msululu wa majanga mpaka inaisha
 
Kuku wa kienyeji ukishaanza kumfungia tu matatizo yanaanza,wanatakiwa wakae nje tu wazurure,sasa kwa nyumba zetu za uswahilini lazima waibiwe sana.Ukitaka kuwafuga kwa ajili ya biashara itahitajika wapatiwe madawa kama vile kuku wa kizungu....
 
Habarini ndugu,

Nimekuwa nikifatilia mara nyingi sana mtu unaweza kuletewa hata kuku 10 kama zawadi na ukaamua kuwafuga katika banda la hovyo tu ajabu ni kwamba watazaliana ingali huwapi chakula cha maana zaidi ya mabaki ya ugali na maharage muda mwingine hawaingii hata bandani wanalala nje ila watazaliana vizuri na kutaga mayai ya kutosha(Wanaweza kufika hata 30),

Cha ajabu sasa kuku wale wale ukiamua kuwageuza kuwa Business Project salaleee hapo sasa ndo Vifo, mafua ya Ndege, Mdondo na kila aina ya ugonjwa utawaandama kuku wako bila kusahau kuku kuzila kutaga wengine hufika mbali zaidi kuanza kula mayai yao wenyewe....Paka nao hawabaki nyuma huja na kuanza kuwinda vifaranga yani kila aina ya majanga huanza kupata kuku wako.

Nimekuwa sielewi hili jambo hivi ni nini kipo nyuma ya haya masuala hebu wajuzi wa Ufugaji watuelezee. ANGALIZO: Imani za kishirikina haziruhusiwi kwenye mjadala.View attachment 3149553
Hili nalo neno....yaani ukitaka kujikwamua tuu basi majanga haya hapa.
 
zingatia sana sana sana usafi wa vyombo vya maji ya kunywa
 
Habarini ndugu,

Nimekuwa nikifatilia mara nyingi sana mtu unaweza kuletewa hata kuku 10 kama zawadi na ukaamua kuwafuga katika banda la hovyo tu ajabu ni kwamba watazaliana ingali huwapi chakula cha maana zaidi ya mabaki ya ugali na maharage muda mwingine hawaingii hata bandani wanalala nje ila watazaliana vizuri na kutaga mayai ya kutosha(Wanaweza kufika hata 30),

Cha ajabu sasa kuku wale wale ukiamua kuwageuza kuwa Business Project salaleee hapo sasa ndo Vifo, mafua ya Ndege, Mdondo na kila aina ya ugonjwa utawaandama kuku wako bila kusahau kuku kuzila kutaga wengine hufika mbali zaidi kuanza kula mayai yao wenyewe....Paka nao hawabaki nyuma huja na kuanza kuwinda vifaranga yani kila aina ya majanga huanza kupata kuku wako.

Nimekuwa sielewi hili jambo hivi ni nini kipo nyuma ya haya masuala hebu wajuzi wa Ufugaji watuelezee. ANGALIZO: Imani za kishirikina haziruhusiwi kwenye mjadala.View attachment 3149553
CHANGAMOTO NI ELIMU BORA YA UFUGAJI WA KUKU.

Kabla ya kuanza ufugaji, Kuna vitu muhimu unapaswa kuvifahamu kiundani.

Hapa inahusisha ufahamu wa
AINA YA KUKU unataka kuwafuga kibiashara.

DHUMUNI la kuwafuga, Ili kuepuka hasara Hata wasipokufa Kwa magonjwa, Bado unaweza pata hasara kutokana na Mfumo ulioutumia kuwafuga Kwa outcome kuwa juu kuliko income.

MAHITAJI Yao Kwa aina uloamua kuifuga.

CHANGAMOTO zinazo wakabili na jinsi ya kuzitatua. N.K
 
Back
Top Bottom