Pluto thnker
Senior Member
- Aug 25, 2024
- 147
- 295
Ukute Wana vikao vyao mkuu, wanakusema hili lina tamaa, limeona kunywa supu mara moja moja haifai limeanza project ngoja tukose wote, bora tuliingize hasara wale paka wanenepe.Habarini ndugu,
Nimekuwa nikifatilia mara nyingi sana mtu unaweza kuletewa hata kuku 10 kama zawadi na ukaamua kuwafuga katika banda la hovyo tu ajabu ni kwamba watazaliana ingali huwapi chakula cha maana zaidi ya mabaki ya ugali na maharage muda mwingine hawaingii hata bandani wanalala nje ila watazaliana vizuri na kutaga mayai ya kutosha(Wanaweza kufika hata 30),
Cha ajabu sasa kuku wale wale ukiamua kuwageuza kuwa Business Project salaleee hapo sasa ndo Vifo, mafua ya Ndege, Mdondo na kila aina ya ugonjwa utawaandama kuku wako bila kusahau kuku kuzila kutaga wengine hufika mbali zaidi kuanza kula mayai yao wenyewe....Paka nao hawabaki nyuma huja na kuanza kuwinda vifaranga yani kila aina ya majanga huanza kupata kuku wako.
Nimekuwa sielewi hili jambo hivi ni nini kipo nyuma ya haya masuala hebu wajuzi wa Ufugaji watuelezee. ANGALIZO: Imani za kishirikina haziruhusiwi kwenye mjadala.View attachment 3149553
Yaani utaanza kununua madawa na ukienda dukani atakuambia chukua na hii na hiiHapa kuna ka ukweli, kwahyo tatizo ni kwamba ujuaji unaanza kuwa mwingi
Ni kweli. Asante mkuuWatu wanakula sana ya kisasa, sababu bei chee!! .
Duuh pole sana !!
Jaribu kufuga wafike 10,000 bila kuwauza ama 5,000, kuku pia ana akiliHabarini ndugu,
Nimekuwa nikifatilia mara nyingi sana mtu unaweza kuletewa hata kuku 10 kama zawadi na ukaamua kuwafuga katika banda la hovyo tu ajabu ni kwamba watazaliana ingali huwapi chakula cha maana zaidi ya mabaki ya ugali na maharage muda mwingine hawaingii hata bandani wanalala nje ila watazaliana vizuri na kutaga mayai ya kutosha(Wanaweza kufika hata 30),
Cha ajabu sasa kuku wale wale ukiamua kuwageuza kuwa Business Project salaleee hapo sasa ndo Vifo, mafua ya Ndege, Mdondo na kila aina ya ugonjwa utawaandama kuku wako bila kusahau kuku kuzila kutaga wengine hufika mbali zaidi kuanza kula mayai yao wenyewe....Paka nao hawabaki nyuma huja na kuanza kuwinda vifaranga yani kila aina ya majanga huanza kupata kuku wako.
Nimekuwa sielewi hili jambo hivi ni nini kipo nyuma ya haya masuala hebu wajuzi wa Ufugaji watuelezee. ANGALIZO: Imani za kishirikina haziruhusiwi kwenye mjadala.View attachment 3149553
Hahaha umenichekesha sana mkuuUkute Wana vikao vyao mkuu, wanakusema hili lina tamaa, limeona kunywa supu mara moja moja haifai limeanza project ngoja tukose wote, bora tuliingize hasara wale paka wanenepe.
Ni hatari nisawa na pesa ikiwa bado hujaishika unaipangia mipango vizurii ikisha ingia mfukoni msululu wa majanga mpaka inaishaHabarini ndugu,
Nimekuwa nikifatilia mara nyingi sana mtu unaweza kuletewa hata kuku 10 kama zawadi na ukaamua kuwafuga katika banda la hovyo tu ajabu ni kwamba watazaliana ingali huwapi chakula cha maana zaidi ya mabaki ya ugali na maharage muda mwingine hawaingii hata bandani wanalala nje ila watazaliana vizuri na kutaga mayai ya kutosha(Wanaweza kufika hata 30),
Cha ajabu sasa kuku wale wale ukiamua kuwageuza kuwa Business Project salaleee hapo sasa ndo Vifo, mafua ya Ndege, Mdondo na kila aina ya ugonjwa utawaandama kuku wako bila kusahau kuku kuzila kutaga wengine hufika mbali zaidi kuanza kula mayai yao wenyewe....Paka nao hawabaki nyuma huja na kuanza kuwinda vifaranga yani kila aina ya majanga huanza kupata kuku wako.
Nimekuwa sielewi hili jambo hivi ni nini kipo nyuma ya haya masuala hebu wajuzi wa Ufugaji watuelezee. ANGALIZO: Imani za kishirikina haziruhusiwi kwenye mjadala.View attachment 3149553
Hili nalo neno....yaani ukitaka kujikwamua tuu basi majanga haya hapa.Habarini ndugu,

Lokesheni nije nikusaidie kuyabonyeza,,kama hutoja D.Ni kweli. Hapa natafuta mteja wa tray moja ya mayai nimekosa. Nayala mwenyewe
Ipo hivyo mkuu sjui shida ni niniHili nalo neno....yaani ukitaka kujikwamua tuu basi majanga haya hapa.
CHANGAMOTO NI ELIMU BORA YA UFUGAJI WA KUKU.Habarini ndugu,