Kuku ukiwafuga kwa matumizi ya Nyumbani hawapati shida yoyote ila ukiwageuza tu kuwa Business Project kila kitu hugeuka

Kuku ukiwafuga kwa matumizi ya Nyumbani hawapati shida yoyote ila ukiwageuza tu kuwa Business Project kila kitu hugeuka

Malaika wa Misukosuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
2,470
Reaction score
7,376
Habarini ndugu,

Nimekuwa nikifatilia mara nyingi sana mtu unaweza kuletewa hata kuku 10 kama zawadi na ukaamua kuwafuga katika banda la hovyo tu ajabu ni kwamba watazaliana ingali huwapi chakula cha maana zaidi ya mabaki ya ugali na maharage muda mwingine hawaingii hata bandani wanalala nje ila watazaliana vizuri na kutaga mayai ya kutosha(Wanaweza kufika hata 30)

Cha ajabu sasa kuku wale wale ukiamua kuwageuza kuwa Business Project salaleee hapo sasa ndo Vifo, mafua ya Ndege, Mdondo na kila aina ya ugonjwa utawaandama kuku wako bila kusahau kuku kuzila kutaga wengine hufika mbali zaidi kuanza kula mayai yao wenyewe. Paka nao hawabaki nyuma huja na kuanza kuwinda vifaranga yani kila aina ya majanga huanza kupata kuku wako.

Nimekuwa sielewi hili jambo hivi ni nini kipo nyuma ya haya masuala hebu wajuzi wa Ufugaji watuelezee.

ANGALIZO: Imani za kishirikina haziruhusiwi kwenye mjadala.

download (4).jpeg
 
Write your reply...da umenikumbusha mbali mkuu, nlinunua tetea watano jogoo moja, nliwafuga kwajil ya ktoweo t ila ajabu walzaliana sna had nikaptat wazo nboleshe niwafuge kibiashala looh! nngejua ncngewaza vle, mana majanga yaliongozana had sasa nmebak na knyes chao nataka nkatupie shambn kupunguza hasira.
 
Mimi mwenyewe huwa sielewagi ni kwanini kwa utafiti wangu baadhi ya watu niliowashuhudia wakifuga Kuku kwa kula tu huishi sana na kuku wao ila wakiwageuza kuwa fursa tu hapo ndo Ubaya Ubwela sasa unaingilia kati, Wanabaki na Banda na kinyesi tu.
 
Tatizo ni madawa feki, kama binadamu mnabugia madawa msiyoyajua, hao kuku wasioelewa chochote unategemea watapona kwa ukiherehere wetu?

Madawa feki na wakati mwingine watu wanawapa ziada (overdose) mpaka wanakufa
Ila wa nyumbani umewahi kuona mwenye kuku anawadondoshea dawa kwenye macho? Kama wanja
 
Hapa kuna ka ukweli, kwahyo tatizo ni kwamba ujuaji unaanza kuwa mwingi
 
Ishu iko hivi less volume able to control and vice versa , ila ukikazana unatoboa mm nina kuku wa kitoweo nyumbani na wako poa na wamekuwa wengi pamoja na wa biashara na mambo yako poa zingatia management, biosecurity uhakikishe ata nzi au mbu aingii kwenye banda la kuku .
 
Back
Top Bottom