Habari za wakati huu ndugu zangu Natumaini wote wazima kwa yoyote mwenye changamoto MWENYEZI MUNGU ATASAIDIA,
Basi nimekutana na mtu huko anasema kwanini Eti ngo'mbe wa laki nane analala nje lakini kuku wa elfu kumi na Tano analala ndani, šje kuku ni Bora zaidi ya Ng'ombe au ni zaidi ya Gari la million lakini linalala nje, au ni mtazamo tu maana vitu vidogo vidogo ni vinalala ndani maana ni rahisi sana kuviswaga mfano ni viatu, kuku, ndala
Nawasilisha tu