yule mpishi namjua ntakupa namba yake ya simu atakueleza vizurieeeh bana eeh, nimetimba tabora leo. kuna sehemu nikapelekwa kula kuku wanapaita PPP.. kuku watamu hataree. sasa ambae kashawahi kula wale kuku atupie maujuzi ya kuwaandaa.. sijui wanaeka nini na wenyewe wachoyo wamegoma kunifundisha.
The Boss na Kaunga najua tabora ndo home pengine mna idea na wale kuku. wataalam wa mapishi help me nikirudi mpwapwa niwe nimetoka shavu.
ntashukuru, kama vipi umwelekeze aje anipikie kwangu.
eeeh bana eeh, nimetimba tabora leo. kuna sehemu nikapelekwa kula kuku wanapaita PPP.. kuku watamu hataree. sasa ambae kashawahi kula wale kuku atupie maujuzi ya kuwaandaa.. sijui wanaeka nini na wenyewe wachoyo wamegoma kunifundisha.
The Boss na Kaunga najua tabora ndo home pengine mna idea na wale kuku. wataalam wa mapishi help me nikirudi mpwapwa niwe nimetoka shavu.
inawezekana eeh, ndo maana nimeanza kufolu in lavu na mpishi.
nilipata ya mara ya kwanza kitu kikafanania kwa mbali, nataka nijaribu tena halafu nitawaletea maujanja