Kuku wa "abuja" Tabora

Kuku wa "abuja" Tabora

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
23,851
Reaction score
9,472
Eeeh bana eeh, nimetimba tabora leo. kuna sehemu nikapelekwa kula kuku wanapaita PPP kuku watamu hataree. sasa ambae kashawahi kula wale kuku atupie maujuzi ya kuwaandaa. Sijui wanaeka nini na wenyewe wachoyo wamegoma kunifundisha.

The Boss na Kaunga najua tabora ndo home pengine mna idea na wale kuku. wataalam wa mapishi help me nikirudi mpwapwa niwe nimetoka shavu.
 
Last edited by a moderator:
eeeh bana eeh, nimetimba tabora leo. kuna sehemu nikapelekwa kula kuku wanapaita PPP.. kuku watamu hataree. sasa ambae kashawahi kula wale kuku atupie maujuzi ya kuwaandaa.. sijui wanaeka nini na wenyewe wachoyo wamegoma kunifundisha.

yule mpishi namjua ntakupa namba yake ya simu atakueleza vizuri
 
Last edited by a moderator:
eeeh bana eeh, nimetimba tabora leo. kuna sehemu nikapelekwa kula kuku wanapaita PPP.. kuku watamu hataree. sasa ambae kashawahi kula wale kuku atupie maujuzi ya kuwaandaa.. sijui wanaeka nini na wenyewe wachoyo wamegoma kunifundisha.
The Boss na Kaunga najua tabora ndo home pengine mna idea na wale kuku. wataalam wa mapishi help me nikirudi mpwapwa niwe nimetoka shavu.

wanawekewa limbwatta za ng'ambo
 
Last edited by a moderator:
Vipi dia bado hujapata recipe mpaka leo.........na mimi nasubiri hapa kwenye kona

nilipata ya mara ya kwanza kitu kikafanania kwa mbali, nataka nijaribu tena halafu nitawaletea maujanja
 
Back
Top Bottom