Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
1:12 ni jogoo mmoja kwa tetea 12
uwiano mzuri ni tetea wa 8 hadi 10 kwa jogoo 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1:12 ni jogoo mmoja kwa tetea 12
Jaribu kuwa na majogoo ya kutosha na kuwapa kuku wako chakula cha kutosha. Pia hakikisha unakuwa na banda la kutosha lililo na viota vya kutagia mayai vya kutosha.
Ukiwa na mtaji wa kutosha unaweza kufikiria kuwa na incubator........
Hapo kwenye Red si kweli kabisa labda uje na utafiti wako hapa, Mayai kuto kutotolewa kunasababishwa na mambo mengi sana.
1. La jogoo likiwemo- Hapa hata wingi wa jogoo kwa mitetea nalo ni tatizo so msiangalie uchache tu.1:12 kama hao kuku wanafungiwa ndani ni sawa ila kama wanaishi wenyewe yaani huria basi hiyo latio inaweza kuwa haitoshi kwa sababu kuku wa kiwa nje ratio ni lazima iwe tofauti na kuku wanao fungiwa ndani
Je kuku wakiwa nje ratio yao inatakiwa kuwaje?
Mkuu kama umewahi kuiona hiyo incubator ingekuwa rahisi kuelezea namna inavyofanya kazi, lakini kama unaisikia ni ngumu kuelewa.Unaweza kutuelezea jinsi ya kutumia incubator, maana ss wengine tuna isikia tu
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hapo kwenye Red si kweli kabisa labda uje na utafiti wako hapa, Mayai kuto kutotolewa kunasababishwa na mambo mengi sana.
1. La jogoo likiwemo- Hapa hata wingi wa jogoo kwa mitetea nalo ni tatizo so msiangalie uchache tu.1:12 kama hao kuku wanafungiwa ndani ni sawa ila kama wanaishi wenyewe yaani huria basi hiyo latio inaweza kuwa haitoshi kwa sababu kuku wa kiwa nje ratio ni lazima iwe tofauti na kuku wanao fungiwa ndani
Je kuku wakiwa nje ratio yao inatakiwa kuwaje?
Kuku wakiwa nJe Ratio inatakiwa kuwa Jogoo mmoja kwa Mitetea wasio zidi 5, hii ni kutokana na kwamba jogoo anatumia nguvu nyingi kufukuza kuku
Kuku wakiwa nJe Ratio inatakiwa kuwa Jogoo mmoja kwa Mitetea wasio zidi 5, hii ni kutokana na kwamba jogoo anatumia nguvu nyingi kufukuza kuku
hahahahaha kama vipi afunge mitetea wote kamba, alafu kwann wanakimbiaga?
Mkuu kama umewahi kuiona hiyo incubator ingekuwa rahisi kuelezea namna inavyofanya kazi, lakini kama unaisikia ni ngumu kuelewa.
Kuku wakiwa nJe Ratio inatakiwa kuwa Jogoo mmoja kwa Mitetea wasio zidi 5, hii ni kutokana na kwamba jogoo anatumia nguvu nyingi kufukuza kuku
Asante bwana chasha, alafu je kipi bola zaidi kati ya kufugia kukuwako ndani tu au kuwa toa nje mfano kuku wa kienyeji?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Okay mkuu.Katavi nimeisha iona picha ya incubator, so kama unaweza kunielezea its good n nitakuelewa
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kama ni kuku wa kienyeji ufugaji wa nusu huria ndio mzuri zaidi. Unawafuga ndani na mida fulani unawatoa nje.Asante bwana chasha, alafu je kipi bola zaidi kati ya kufugia kukuwako ndani tu au kuwa toa nje mfano kuku wa kienyeji?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
hapo kwenye majogoo mengi....wanashauri uwiano wa jogoo mmoja kwa matetea kumi.Jaribu kuwa na majogoo ya kutosha na kuwapa kuku wako chakula cha kutosha. Pia hakikisha unakuwa na banda la kutosha lililo na viota vya kutagia mayai vya kutosha.
Ukiwa na mtaji wa kutosha unaweza kufikiria kuwa na incubator........