Kuku wa kienyeji

Kuku wa kienyeji

Jaribu kuwa na majogoo ya kutosha na kuwapa kuku wako chakula cha kutosha. Pia hakikisha unakuwa na banda la kutosha lililo na viota vya kutagia mayai vya kutosha.
Ukiwa na mtaji wa kutosha unaweza kufikiria kuwa na incubator........

Unaweza kutuelezea jinsi ya kutumia incubator, maana ss wengine tuna isikia tu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hapo kwenye Red si kweli kabisa labda uje na utafiti wako hapa, Mayai kuto kutotolewa kunasababishwa na mambo mengi sana.
1. La jogoo likiwemo- Hapa hata wingi wa jogoo kwa mitetea nalo ni tatizo so msiangalie uchache tu.1:12 kama hao kuku wanafungiwa ndani ni sawa ila kama wanaishi wenyewe yaani huria basi hiyo latio inaweza kuwa haitoshi kwa sababu kuku wa kiwa nje ratio ni lazima iwe tofauti na kuku wanao fungiwa ndani

Je kuku wakiwa nje ratio yao inatakiwa kuwaje?
 
Mkuu kama umewahi kuiona hiyo incubator ingekuwa rahisi kuelezea namna inavyofanya kazi, lakini kama unaisikia ni ngumu kuelewa.
 
Kuku wakiwa nJe Ratio inatakiwa kuwa Jogoo mmoja kwa Mitetea wasio zidi 5, hii ni kutokana na kwamba jogoo anatumia nguvu nyingi kufukuza kuku
 
Mkuu kama umewahi kuiona hiyo incubator ingekuwa rahisi kuelezea namna inavyofanya kazi, lakini kama unaisikia ni ngumu kuelewa.

Katavi nimeisha iona picha ya incubator, so kama unaweza kunielezea its good n nitakuelewa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Katavi nimeisha iona picha ya incubator, so kama unaweza kunielezea its good n nitakuelewa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Okay mkuu.
Ile mashine inaatamia mayai kama kuku anavyoatamia. ina sehemu ya kucontrol temperature ambayo inatakiwa iwe around 39 degrees za centigrade. Hapa ndio umuhimu wa umeme kuwa wa uhakika kama inatumia umeme, kama ni ya mafuta ya taa hii haina shida sana. Kila baada ya muda mayai yanageuzwa automatically au manually kulingana na aina ya incubator. Baada ya siku nane na ya 18 inafanyika candling ya kila yai kuangalia kama kuna uhai ndani yake. Baada ya siku ya kumi na nane mayai yanahamishiwa katika hatcher ndani ya incubator tayari kwa kutotolewa kuanzia siku ya 21
 
Jaribu kuwa na majogoo ya kutosha na kuwapa kuku wako chakula cha kutosha. Pia hakikisha unakuwa na banda la kutosha lililo na viota vya kutagia mayai vya kutosha.
Ukiwa na mtaji wa kutosha unaweza kufikiria kuwa na incubator........
hapo kwenye majogoo mengi....wanashauri uwiano wa jogoo mmoja kwa matetea kumi.
 
Back
Top Bottom